Nimeachana naye lakini bado ananifatilia

Nimeachana naye lakini bado ananifatilia

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
416
Wakuu majuma kadhaa nilileta nilileta uzi wa kuomba ushauri kuhusiana na mpenzi wangu ambae alikuwa ni mbinafsi, bahili na hanijali pia.

Baada ya kusoma ushauri mbalimbali na kuchanganya na akili yangu, nilifuata ushauri na mimi kufikia hatua ya kuachana na huyo mpenzi mbinafsi.

Ni mwezi Sasa tangu tuachane lakini mwenzangu nashangaa nikupost Kitu kwenye status yeye anakuwa Mtu wa Kwanza kuview, nikipost Instagram anakuwa wa Kwanza kulike, najiuliza ameshindwa kuachika au Ni Nini, Hadi nimeamua kuacha kupost chochote kwenye social media kwa sasa.
 
😂😂😂😂 Yani uache post kitu kisa ex anakufuatilia..una wazimu wewe...
 
Inaonekana unajisikia raha akikusumbua sasa usitusumbue

Ww si ndio Muachaji
Sasa akiview statua zako na kulike post zako ww unashida gan..

Ok nmekuelewa sasa.

Karibu kwenye ulimwengu wetu wa waachaji na hayo matukio yako ni stage tu za walio achwa sio tatxo ilo
 
Huyu mtoa mada ana utoto ndani yake ila akiutoa huo utoto atakufa muacheni tu
 
mbinafsi=hanipi pesa,

bahili=hanipi pesa

na

hanijali=hanipi pesa
😂😂😂😂😂😂Mkuu ni kweli na si kwamba Hana pesa anayo, sijawahi pewa hata Mia , ila yy anajinunulia mavitu tu tea ya gharama ,mbali na kunipa coz sikuwa na tabia ya kumuomba , na hata baada ya kumuomba alininyima pia wakati anazo Sasa Mimi wa Nini, wakati yeye anakula mzigo bila shida yoyote.
 
Mkuu ni kweli na si kwamba Hana pesa anayo, sijawahi pewa hata Mia , ila yy anajinunulia mavitu tu tea ya gharama ,mbali na kunipa coz sikuwa na tabia ya kumuomba , na hata baada ya kumuomba alininyima pia wakati anazo Sasa Mimi wa Nini, wakati yeye anakula mzigo bila shida yoyote.

so Jamaa alikuwa anakula mzigo Bure hehehehe,, angalia huko uendako asije nae akala bure
 
Hapa tunatangaziwa Jimbo lipo wazi

Mbona mabaharia mnaniangushaaa? 😎

Haya kazi kwenu, dada njoo PM tuyajenge
 
Wakuu majuma kadhaa nilileta nilileta uzi wa kuomba ushauri kuhusiana na mpenzi wangu ambae alikuwa ni mbinafsi, bahili na hanijali pia.

Baada ya kusoma ushauri mbalimbali na kuchanganya na akili yangu, nilifuata ushauri na mimi kufikia hatua ya kuachana na huyo mpenzi mbinafsi.

Ni mwezi Sasa tangu tuachane lakini mwenzangu nashangaa nikupost Kitu kwenye status yeye anakuwa Mtu wa Kwanza kuview, nikipost Instagram anakuwa wa Kwanza kulike, najiuliza ameshindwa kuachika au Ni Nini, Hadi nimeamua kuacha kupost chochote kwenye social media kwa sasa.
Poa
 
Back
Top Bottom