Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna hii kitu inanitokea sana, kila ninapoamua kumpa mama zawadi au pesa kidogo iwe kaniomba au nimeamua tu basi siku hio au kesho yake najikuta nimepata hela zaidi. Na huwa sifikirii kichwani...
43 Reactions
109 Replies
8K Views
Kwamfano - Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. HAPO UMEPISHANA NA MUME - Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na...
4 Reactions
192 Replies
18K Views
Kuna maisha yamejengeka katika jamii kuwa mwanamke ndiye anatakiwa afanye kazi zote za ndani kama vile kufua, kupika, kuosha vyombo, kufanya usafi na kazi zingine nyingi za kifamilia. Kuna wakati...
8 Reactions
58 Replies
5K Views
Kama kichwa kilivyo, Kwa mtu timamu hakuna asiyejua hilo ni jukwaa la mlengo gani. Lakini cha kushangaza anatuma mtu post ya kusaka mchumba kama jukwaa linavyotaka, mtu anaanza kumtukana mleta...
18 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi kwa kawaida huwa si mchoyo kabisa. Pia ni mtu mwenye huruma sana. Kwa mfano huwa nikiona ombaomba [silipendi hili neno sema basi tu sina neno jingine lililo zuri] barabarani huwa ninapatwa...
22 Reactions
143 Replies
10K Views
Kipi ni bora zaidi katka kujenga mwili kati ya maziwa Fresh na Maziwa Mgando ??
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuuliza swali, Wanawake mnavyotaka kuolewa na wanaume wenye pesa na maisha yao mliskia wapi labda wanaume wanataka Broke B!tches?
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Naomba kuuliza wana Jf eti nikweli kwamba ukijamiiana na mwanamke mwingine na wakat huo mkeo ama mpenzi wako kafanyiwa operation ni kweli kidonda hakitapona haraka ? Na pia kama ni kweli nini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Uyapokee nitakayokueleza, hata kama yanaumiza ni vema ukajiruhusu kuyaelewa. Si kweli kwamba yuko busy. Si kweli kwamba simu yake ni mbovu. Si kweli kwamba hua anasahau kukujibu sms zako. Si kweli...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja. Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hi guys i hope mko poa, Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani. Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa...
18 Reactions
699 Replies
79K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Kuna vitu na kuna watu rahis sana kuwapata katika mapenz Twende pamoja na beira baby boy WAKE ZA WATU hawa ndo watu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Sio wanawake wote ila wanawake wengi siku hizi wamegeuka toka kwenye maisha yao halisia na kuwa wanaharakati kuhusu wanaume bila wao kujitambua kama wao wameshageuka wanaharakati. Katika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kusamehewa hakukufanyi wewe uendelee na makosa eti sababu unajua kuwa utasamehewa. Unapoomba msamaha maanisha unachokisema na dhamiria kutoka moyoni kutokurudia tena kosa na epukana na mazingira...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu, chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu, kwenye mvua matope si ndumba oh, yasikufanye uchoke mchumba oh, wanapanga maneno kama chati za kumi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu : kwa wale wote ambao wapo kwenye ndoa licha ya mambo mengi ambayo yatazidisha mapenzi lakini ZAWADI ni kitu muhimmu Jizoweshe kumchukulia mkeo Zawadi unaporudi kazini : ukitoka tu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo Wadau : Wale ambao hawajaoa hawajaingia katika maisha ya NDOA think saaaaaana kabla hauja ingia katika NDOA . Make sure that mke mtarajiwa awe anampenda mama yako kama wewe utakavyo...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
1. Wanaojiona Kama Wafalme (King Husband). HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao...
5 Reactions
70 Replies
8K Views
Hi fellows. Nina manzi wangu tuko kwenye uhusiano(distant one) miaka miwili sasa. Namkubali sana huyu bibie, tuna chemistry ya hatari. Pia namuamini sana (as ironic as it might sound in the...
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Kama ingelikua wewe je? Student auctions off virginity for offers of more than £2.5 million A student who is auctioning her virginity to pay for a masters degree in Family and Marriage...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…