Jamani kuishi mjini na ukiwa na uwezo wa at least maisha ya level ya Kati ni jaribu tosha ktk kulinda ndoa zetu.
Leo niwaambie dada zangu mlioolewa,
sisi waume zenu tunapitia mitihani mikubwa...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Kuna baadhi ya watu wake kwa waume huishi na watu yaani wapenzi lakini hawawapendi kabisa.
Sasa mimi huwa najiuliza...
Habari za leo hii? Natumai wote tuko salama tunapambana na hali zetu na ambao kidgo afya ina tatiza tunawaombea waweze kaa sawa.
Leo hii, nikiwa katika hospitali ya lugalo nikisubiri kuingia...
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua kuwa hakuna mwanaume ambaye aliyemuacha mwanamke akabaki salama,kunakuwa na matusi,kashfa,kuumbuana n.k.n.k.Karibu tuachangie katika hili kama una la ziada.
Habari za usiku,
Hivi ikitokea umekasirika kwa sababu zako binafsi au mtu kakukera, ni maneno gani au kitu gani akikufanyia mpenzi/mke wako hasira zote zitapungua au kuisha kabisa?
Habirini wangu, poleni na majukumu,
Mimi nahitaji ushauri,
Nina mwanaume tuna kama mwaka mwanzo nilikuwa nampenda sana ila sasa hivi sijisikii kuwa nae kabisa, sina mapenzi nae tena, hajanikosea...
Wakuu habari zenu,
Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa...
kwakweli bata ukimchunguza sanaaa huwezi kumla jamani
Duh....oooh mimi nataka kumjua x wa bwana angu(akusaidie nini?)
oooh )wanaume )...oooh baby ulikuwa na mabwana wangapi kabla yangu?..... teh...
Heshima yenu wakuu
Basi bwana nimekaa zangu hapa
Kausingizi kapo kwa mbali
Ghafla naingia humu alafu nakumbuka kipindi cha nyuma ambapo nilikuwa nikimuwaza kijana mmoja
Ambaye alishanitesa...
Ndugu zangu za muda huu NADHANI MUWAZIMA..
Sijawahi kupost wala kucomment chochote katika blog hii (nimejiunga tokea 2015, sema huwa nabadilisha (nafunga) sana ID zangu na kufungua mpya, ila kwa...
Hi guys, i hope you are ll doing good,
Naomba majibu kwa wenye very good experience ya hawa wanawake wa Kixhosa, colored, Kizulu na Botswana. Hivi ni kwanini wanawake hawa mostly wa Botswana...
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisa na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya...
Ndugu wanajamvi,
Mimi kijana wa kwenu, nilipata scholarship mwaka huu kusoma masters nchini Hongkong. Ndugu zangu unalipiwa kilakitu but nachomiss ni kugegeda ndugu zangu kila nikiomba mzigo kwa...
Habari za mida wana JF,
Ushauri wenu ni muhimu kwangu katika hili,
Nilishawahi leta uzi humu kuhusu huyu dada mmoja nimpendae japo alizalishwa akiwa form one miaka 2009. Katika pita zangu...
Jane ni binamu yangu, tumekuwa wote tumezoeana sana mbali na undugu ni marafiki. 2009 karudi bongo kutoka masomoni USA, hapo umri wake ndio ule unaowapa mashaka akina dada. Karudi vizuri kiuchumi...
Habari zenu wanajamvi wa JF,
Kwa mtazamo wangu mimi, Dunia ya leo ndoa nyingi zinavunjika mapema tofauti na ndoa za zama zile walizo funga wazee wetu na hii inaonekana wazi kusababishwa na mume...
Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anapo anzisha thread ya kutafuta uchawi ama ulozi wa mapenzi hapa jukwaani, wamekuwa wakiibuka watu na kuanza kumkejeli muhusika, huku wengine wakimwambia habari za ulokole and all that...
Hello guys,
Kwa wale wanaume wanaume wenzangu wakware i believe msha-approach wasichana wa form 2-form 4, pamoja NA wanawake wa chuoni...ukiwa mzoefu kiasi uta-notice difference kwenye texting...