Wanasema ukimchunguza bata huwezi kumla

Wanasema ukimchunguza bata huwezi kumla

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
7,344
Reaction score
3,623
kwakweli bata ukimchunguza sanaaa huwezi kumla jamani
Duh....oooh mimi nataka kumjua x wa bwana angu(akusaidie nini?)

oooh )wanaume )...oooh baby ulikuwa na mabwana wangapi kabla yangu?..... teh teh the(unaendesha sensa au roll call?).. mahaba nivuruge kama bunge la katiba.

Seriously,unategemea utaambiwaje hapo,.....zaidi ya kudanywa tu.....?

Embu tusiwe na akili za kushikiwa kama kuku au kondooo kudadadeki ...

Guys kama umeamua kuwa na huyo manzi(kwa wanaume) wewe kuwa nae tu as long as you are happy...
na wewe msichana kama umeamua kuwa na huyo chalii kuwa nae tu...masuala ya kuulizana past aka maswali ambayo am sure hauko ready kupokea majibu yake ya ukweli ni upuuzi mtupu...

Am sure hutoambiwa ukweli...ni uongo ndio utatatawala sababu either way it can either keep you negative perception on her/him sababu ya historia yake au dharau zitaanzia hapo

Eti unamuuliza kwanini uliachana na bwana ako au girl wako(probably hili swali linahitajika but what if alifumaniwa are you expecting atakuambia alifumaniwa?

Am just saying) hahaha mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia mimi

.....hahaha hivi unategemea atasema ukweli hata kama makosa ni yake?
kama noma na iwe noma lazima avutie kwake ...oh baby si unajua mi napenda watu waaminifu (heheh nani hapendi mpenz awe mwaminifu?) eti my ex nilimfumania so i could not take it anymore u knw.....hehhe kumbe pengine alifumaniwa yeye... hehehe mahaba nitie wazimu nitie watu mawe mjini hapa

hahahha bongo dukinaaaaaaaa jamani tuhachane na haya mapast .aka maswali ya kimapokeo aka maswali ambayo hatuko ready kupokea majibu yake kwa moyo mmoja
take it from me no one is perfect but trust me you can make someone your perfect partner
you have a power to create a perfect patner so as your own monster by your self

let me ask you hata kama amedate mabwana/wanawake mia before u (she/he loved,she/he love and she/he probably will love again if u dump her/him) as long as she/he makes you happy what else do u need??
 
Naomba mtu aje kuisoma kwa sauti aisee
 
Unataka kugundua nn? kujua "ma x" wa mtu wako, nadhani hao wengi ni wavulana na sio wanaume na pia hawajiamini. mwanaume kamili anaanzisha legacy yake kwa mwanamke kias kwamba mwanamke anasahau X's wake automatic
 
Mimi akinichunguza nafunguka mpka anakua wabaridi....wanawake sampuli hiyo nikuwapa za uso tu mana mtu anakuchunguza kma takukuru.
Akiomba pesa zangu mbna hachunguzi zimetoka wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Wamekuelewa...
Tatizo binadamu ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Kuna kaschana kalijitia wazimu kuniuliza nishasex Mara ngap, ilibidi nikaambie ukweli tu hazihesabiki na kwa Mara ya mwsho nlikuwa nachukua wanaojiuza. Baada ya hapo niliona kanaanza kulia......
 
What if akianza kuropoka yeye kwa kujiona mkamilifu sana itakuwaje,

Me huwa sina mbili ni amuzi moja tu, she must get the hell far from me, regardless of all what i promissed to her....

Heli lawama kuliko fedheha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kaschana kalijitia wazimu kuniuliza nishasex Mara ngap, ilibidi nikaambie ukweli tu hazihesabiki na kwa Mara ya mwsho nlikuwa nachukua wanaojiuza. Baada ya hapo niliona kanaanza kulia......
kakome shenzyyyyyyyy
 
Bora uifahamu ili ujue uko na mtu wa namna gani.
Hii misemo siyo applicable kila mahali.
 
Back
Top Bottom