Ameanza kuona umuhimu wangu kwake

Ameanza kuona umuhimu wangu kwake

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Habari za mida wana JF,

Ushauri wenu ni muhimu kwangu katika hili,

Nilishawahi leta uzi humu kuhusu huyu dada mmoja nimpendae japo alizalishwa akiwa form one miaka 2009. Katika pita zangu nilikutana na huyu dada wa kaumbika mashalah bhasi ikabidi nimpige mkono na kumwagia voko alifanikiwa kutiki japo kwa mbinde. Alinieleza yote kuhusu historia ya maisha yake nikaona isiwe tabu ngoja nijichukulie tu huu mzigo.

Huyu binti anauza duka la madawa baridi mbali kidogo na hapa chuo japo ni mkoa mmoja. Baada ya miezi miwili hivi nikawa namchunguza na kugundua kua hayuko serious na love kwani alikua akiniahidi kunitembelea angalau nipate morali ya uwepo wake na mimi lakini ananichiti kwa kudai kakosa nafasi.

Wiki juzi kanipigia simu na kuniambia kapoteza pesa ya bosi laki 7 na yeye ndo counta, alinieleza akilia lia sana, nami bila kumungunya maneno nikampa pole na kumweleza akubali akatwe mshahara wake mpaka hio pesa ifike. Baada ya kumweleza bosi wake akampa miezi 3 hio pesa iwe imekamilika kwa kumkata mshahara wake. Sasa jana napo kaja na ishu nyingine ya kuhitaji kurudia mtihani form four ili apate grade za kusoma famasi.

Ameniomba kumtafutia matirio ili aje weekend kuyachukua na nifundishe baadhi ya vitu. Alivyonieleza hivyo nilifarijika sana moyoni kwani nilikua nikimwelza kusoma anakataa sasa amepanga kuja kwangu kukaa siku 2 ili nimulekeze vitu nami kwakua toka niwe nae kwenye mahusiano sijawahi kula tunda miezi 8 sasa hapo nageuzia gia angani anagegedwa kwanza alafu kusoma baadae.
 
Habari za mida wana jf. Ushauri wenu ni muhimu kwangu katika hili.
Nlishawahi leta uzi humu kuhusu huyu dada mmoja nimpendae japo alizalishwa akiwa form one miaka 2009. Katika pita zangu nlikutana na huyu dada wa kimburu, kaumbika mansharaa bhasi ikabidi nimpige mkona na kumwagia voko alifanikiwa kutiki japo kwa mbinde. Alinieleza yote kuhusu historia ya maisha yake nkaona isiwe tabu ngoja njichukulie tu huu mzigo. Huyu binti anauza duka la madawa baridi mbali kidogo na hapa chuo japo ni mkoa mmoja. Baada ya miezi miwili hivi nkawa namchunguza na kugundua kua hayuko serious na love kwani alikua akiniadi kuntembelea angalau nipate morali ya uwepo wake na mimi lakini ananichiti kwa kudai kakosa nafasi.wiki juzi kanipigia simu na kunambia kapoteza pesa ya bosi laki 7 na yeye ndo counta, alinieleza akilia lia sana, nami bila kumungunya maneno nkampa pole na kumweleza akubali akatwe mshahara wake mpaka hio pesa ifike. Baaada ya kumweleza bosi wake akampa miezi 3 hio pesa iwe imekamilika kwa kumkata mshahara wake. Sasa jana napo kaja na ishu nyingine ya kuhitaji kurudia mtihani form four ili apate grade za kusoma famasi. Ameniomba kumtafutia matirio ili aje wekendi kuyachukua na nfundishe baadhi ya vitu. Alivyonieleza hivyo nlifarijika sana moyoni kwani nlikua nkimwelza kusoma anakataa sasa amepanga kuja kwangu kukaa siku 2 ili nimulekeze vitu nami kwakua toka niwe nae kwenye mahusiano cjawahi kula tunda miezi 8 sasa hapo nageuzia gia angani anagegedwa kwanza alafu kusoma baadae.
Miezi 8 huja wahi tikisa nyavu na mko karibu... ngoja aje ale izo school fees za Nacte...
 
Habari za mida wana JF,

Ushauri wenu ni muhimu kwangu katika hili,

Nilishawahi leta uzi humu kuhusu huyu dada mmoja nimpendae japo alizalishwa akiwa form one miaka 2009. Katika pita zangu nilikutana na huyu dada wa kaumbika mashalah bhasi ikabidi nimpige mkono na kumwagia voko alifanikiwa kutiki japo kwa mbinde. Alinieleza yote kuhusu historia ya maisha yake nikaona isiwe tabu ngoja nijichukulie tu huu mzigo.

Huyu binti anauza duka la madawa baridi mbali kidogo na hapa chuo japo ni mkoa mmoja. Baada ya miezi miwili hivi nikawa namchunguza na kugundua kua hayuko serious na love kwani alikua akiniahidi kunitembelea angalau nipate morali ya uwepo wake na mimi lakini ananichiti kwa kudai kakosa nafasi.

Wiki juzi kanipigia simu na kuniambia kapoteza pesa ya bosi laki 7 na yeye ndo counta, alinieleza akilia lia sana, nami bila kumungunya maneno nikampa pole na kumweleza akubali akatwe mshahara wake mpaka hio pesa ifike. Baada ya kumweleza bosi wake akampa miezi 3 hio pesa iwe imekamilika kwa kumkata mshahara wake. Sasa jana napo kaja na ishu nyingine ya kuhitaji kurudia mtihani form four ili apate grade za kusoma famasi.

Ameniomba kumtafutia matirio ili aje weekend kuyachukua na nifundishe baadhi ya vitu. Alivyonieleza hivyo nilifarijika sana moyoni kwani nilikua nikimwelza kusoma anakataa sasa amepanga kuja kwangu kukaa siku 2 ili nimulekeze vitu nami kwakua toka niwe nae kwenye mahusiano sijawahi kula tunda miezi 8 sasa hapo nageuzia gia angani anagegedwa kwanza alafu kusoma baadae.
DKPCHxSXkAAnXUT.jpg
 
Unaletewa mimba ulee.
Msaidie materials hizo ila usimgegede.
 
Sijaelewa bado. Now days buana,wakiume mna visa sana. Naona wanaume mmetulia
 
Back
Top Bottom