Kuna mwanaume alieacha mwanamke akabaki salama?

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,049
Reaction score
27,883
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua kuwa hakuna mwanaume ambaye aliyemuacha mwanamke akabaki salama,kunakuwa na matusi,kashfa,kuumbuana n.k.n.k.Karibu tuachangie katika hili kama una la ziada.
 
Wengi tupo wahanga wa hii kitu. Mwanamke huwa namvulia kofia, akiamua kukutesa hata uwe Rais utanyooka tu
 
wanawake silaha kuu waliyonayo ni mdomo......kama umeshaachana nae, no matter mmezaa,,,, lazima atakutukana to death.....but ukiwa na busara wala usihangaike kujibu, kozi mengine yanakera na kukuumiza kweli...ila kaa kimya pigana na maisha....akistuka jua limezama.....
 
Inategemea unamuacha katika hali gani. Sijawahi tukanwa kamwe wakati wa kuachana na mwanamke, as long as ukiwa gentleman hakuna anayeweza kukupa maneno ya kashfa.

Tena kuna wengine waliniambia kuwa sawa tunaachana lakini ukija kupata mwanamke mwingine ni bora asithubutu kukutesa, kwani atanitambua mimi ni nani kwasababu una roho nzuri sijapata ona. Na almost wote nilioachana nao bado ni rafiki zangu na tunaheshimiana kwa hali ya juu!

Kama ni kumuacha mtu, jaribu kumuacha kiustaarabu!
 
True and lies,itabidi utunge kitabu mkuu cha kuwafundisha wanaume kuwaacha wanawake kiustaarabu wakati wenyewe hawakutarajiwa kuwa kuna kuachwa..
 
Back
Top Bottom