Nimfanyeje huyu binti ili asinisumbue

Nimfanyeje huyu binti ili asinisumbue

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Ni binti ambae niliingia nae kwenye mahusiano wakati tupo chuo mkoani Morogoro miaka miwili iliyopita tena ilikua ni dakika za mwisho mwisho kabla mimi na yeye hatujamaliza chuo ila kwa bahati mbaya sikufanikiwa kumgegeda.

Ilikua kila nikiomba mechi na yeye analeta utoto utoto mwiiiiiiiiingi sana, niliporudi nyumbani nikaamua kumpotezea na namba yake sikutaka hata kuiona kwenye simu yangu.Hatimaye nikapata kazi nikaoa tena mwanamke mzuri zaidi yake.

Tatizo linakuja kwamba kwa siku za hivi karibuni amekua akinisumbua sana akihitaji nimsaidie pesa ilhali anajua mimi tayari nina mke na pesa ninayopata ni kwaajiri ya familia yangu na si kwajiri yake tena.

Kibaya zaidi hajawahi kunipa tunda hata mara moja kitu ambacho ndo kinanipa ugumu kabisa wa kumsaidia hata senti tano yangu.Yani kula wale wengine kuhudumia nihudumie mimi ni kitu ambacho kwangu hakiwezekani kabisa.

Kila nikifuta namba yake wapi bado tu ananitafuta.Kuna siku nilimpa maneno makali nikiamini hatonitafuta tena lakini dooooooh yani kama ndio nimemchochea.

Naombeni ushauri nimfanyeje huyu binti
 
mwambie kuwa wewe saiv unafamilia tayari hivo anapaswa kukuheshimu na kujiheshimu yeye pia .kama ni mwelewa atakuelewa tu
 
Nitumie namba yake mkuu naamin ukinipa namba yake hatakusumbua tena

Fanya hivo kamanda we nipe namba yake tu
 
Uncle Magu endelea kukaza vyuma hadi cheche zitoke!!!

Nawe mlete utoto mwingiiiiii kama alivyokua analeta utoto mwiiiiiingi kwenye kumla papuchi!!!
 
Mpotezee tu kwani hapo mwanzo alipokubania hakujua kwamba binadamu tunategemeana na kuna leo na kesho, amekwama ndio anaona umuhimu wako...
[emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom