Ni nini kinahitajika kwenu akina dada kupata mwenza?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nashindwa kuelewa! Unakuta wanawake wengi baadhi wanadanga, na wengine wanahangaika kupata watu hata wakuwachumbia au hata wakuwaoa.

Sasa mimi najiuliza nini kilichojificha hapo? Hadi wanaume wanakuwa wanachomoa? Au ni handles maana unakuta mwanamke anahaha hata kwa waganga kutafuta mwanaume wakumuoa lakini masikini hapati.

Je ni wapi wao huwa wanakosea mpaka wanakosa? Maana wenye uhitaji wa kuoa niwengi! Maana wengine wana kazi nzuri na wengine wanakipato lakini wamekosa waume je nini kinashindikana?

Ni wapi wanakosea? Twambieni nyie mliopata mlitumia tekniki gani mpaka mkapata. Ili tujue Uwanja ndiyo huu maelezo ni yenu.
 
Nashindwa kuelewa kukuta wanawake wengi wao wanadanga, na wengine wanahangaika kupata mtu hata wakumchumbia au hata wakumuoa! sasa najiuliza nini kilichojificha hapo?? hadi wanaume wanakuwa wanachomoa?? au ni handles maana Unakuta mwanamke anahaha hata kwa waganga kutafuta mwanaume wakumuoa lakini masikini hapati! je ni wapi wao huwa wanakosea mpaka wanakosa??maana wenye uhitaji wakuoa niwengi! maana wengine wana kazi nzuri na wengine wanakipato lakini wamekosa waume je nini kinashindikana??Ni wapi wanakosea??
Twambieni nyie mliopata mlitumia tekniki gani mpaka mkapata.Ili tujue
Uwanja ndiyo huu maelezo ni yenu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1505971703154.jpg
    FB_IMG_1505971703154.jpg
    58.8 KB · Views: 21
Milele Amina

Mzima best naona unawahurumia wadada wanaosubiri bado wapo wapo
Swali gumu ata kwetu wanaume binafsi huwa napata utata kila demu ninayekuwa naye naona hafai tunaachana...!

But nadhani ni issues nzito sana, kumchagua mwenza hasa linakuja suala priorities..
 
Swali gumu ata kwetu wanaume binafsi huwa napata utata kila demu ninayekuwa naye naona hafai tunaachana...!

But nadhani ni issues nzito sana, kumchagua mwenza hasa linakuja suala priorities..
Mkuu kama ambavyo unaona ugumu ndivyo hata huyo unaywfikiri kwamba atakuwa ndiye naye anashindwa kufikia maamuzi. Tubaki kuamini mke mwema atoka kwa Bwana. Maana ubavu wake ndio umekwenda kumtwngeneza mke. Endelea kuomba ipo siku yako
 
Swali gumu ata kwetu wanaume binafsi huwa napata utata kila demu ninayekuwa naye naona hafai tunaachana...!

But nadhani ni issues nzito sana, kumchagua mwenza hasa linakuja suala priorities..
Sasa wewe nitatizo lako! wengine hapati kabisa! pili ujue chemstiry inahusika hapa! Mimi naongelea hawapati kabisa na hawana kasoro kumaisha na bado wadogo!
 
Tatixo lenu wadada wa siku hiz mnapenda hela mno ndo maana hampati wa kuwaoa,mnaishia kuzalishwa na kuachwa
 
Tatzo n 1 tu

Choosing

""" mchagua Nazi huangukia koroma"""""wahenga 12;1-3
 
Back
Top Bottom