Wanaume wa kuoa wameshaisha waliobakia ni makinikia

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
26,833
50,016
Wana jukwaa hasa wadada ambao hamjaolewa kwa hali ya sasa ukiangalia wanaume wanaojielewa ni wa kuhesabu.

Waliobakia ni wapenda dezo, wapenda kujiremba na kuhongwa. Wakizaa na wadada basi ni kukimbia watoto hawataki majukumu kabisa.

Kama ni gold(wanaume halisi) wameshachenjuliwa kitambo wamebakia makinikia(wanaume suruali).
 
Wana jukwaa kwa hali ya sasa ukiangalia wanaume wanaojielewa ni wa kuhesabu. Waliobakia ni wapenda dezo, wapenda kujiremba na kuhongwa. Wakizaa na wadada basi ni kukimbia watoto hawataki majukumu kabisa. Kama ni gold(wanaume halisi) wameshachenjuliwa kitambo wamebakia makinikia(wanaume suruali).
Tuliza mchecheto dada subira huvuta kheri....kama hujaolewa Leo basi nawe kesho yako yaja utaolewa weyeee....
BTW sio wote makinikia tupo wengi wazuri sema wewe ni mvivu sana wa kufanya utafiti mkuu.
 
Wana jukwaa kwa hali ya sasa ukiangalia wanaume wanaojielewa ni wa kuhesabu. Waliobakia ni wapenda dezo, wapenda kujiremba na kuhongwa. Wakizaa na wadada basi ni kukimbia watoto hawataki majukumu kabisa. Kama ni gold(wanaume halisi) wameshachenjuliwa kitambo wamebakia makinikia(wanaume suruali).
Umekula marage ya wap ww..?? Kama huna TBS kwann usi kimbiwe..?? Mwanamke unakuta kyuuuma kina urefu wa futi 6 kama kaburi...watu wale na kusepa.:(
 
Back
Top Bottom