Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Habari za mwisho wa juma nyote,
Ndo kama hivo nimezima mahali ambapo nashindwa kujinasua. Nataka sana kutoka huku nilikonasa lakini siwezi.... nimechoka na haya mahaba nataka kuwa kubaki Kasie asiye na mahaba.....
Msaada wenu tafadhali natokaje kwenye haya mahaba.... nimechokaaaa.
Hizi nyimbo hapa chini zinaonesha msisitizo..... sikiliza kwa makini.
Kasie kachoka mahaba, ushauri wako tafadhali.
Mapenzi yananitatiza Kasie mie.... natokaje?
Nimezama kwenye lindi na kina kirefu.... natokaje Kasie ni taabani....
Moyo unalia, macho yanacheka.... natokaje hapa waungwana? ...
Basi ukashindwa nitoa huku nilikozama kwenye lindi naomba unipelekee salamu.... kwa yule muhimu. Akipata salamu yangu atakuja nitoa huku nilikonasa. Ukifika umweleze kwa upole... ya kuwa napata tabu. Usiseme kwa ukali mambo utayaharibu....
Weekend njema.
Kasie aka Kasinde.