Wanawake acheni kulalamika, suala la tendo la ndoa

Wanawake acheni kulalamika, suala la tendo la ndoa

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,254
Reaction score
11,489
Kumekuwepo na mijadala mingi sana hususani lawama za wanawake kwenda kwa wanaume hususani tendo la ndoa

Wanawake wengi wanalalamika hawapewi haki yao kikamilifu katika ndoa zao wengi wanalalamika kipindi wapo kwenye uchumba jamaa alikuwa anajituma sana ila walipooana uwezo umeshuka jamaa anazingua tofauti na awali tuje katika uhalisia

Hivi wewe dada Mala ngapi ushamwambia mwenza wako unaitaji tendo la ndoa?

Mala ngapi ushamwambia mwenza wako sasa hivi uwezo wake unapungua uridhiki zaidi unakuja lalamika uku mitandaoni?

Mmeona tatizo hapo, wanawake wengi katika ndoa wanasubilia mwanaume ndio aseme anaita tendo la ndoa hivyo Siku mzee akiwa na bize wiki nzima anarufi kachoka anaoga na kulala haombi PAPA kwa mama basi mama jamani hata nyie majukumu hilo mtomase tomase mzee, ila kitu ni yako ufuate ilipo ishike isalimie uone kama mzee atakuacha atakupa haki yako tu badilikeni

Wengi msipopewa haki yenu mnasema mbona kipindi cha uchumba alikuwa vizuri ila mmeona uwezo umeshuka hiyo kweli kipindi cha uchumba pengine kwa wiki mlikutana Mala moja na mlipokutana nyote mlijua leo lazima show so obvious lazima mlienjoy sasa leo mpo wote mda wote hakuna kupaniana zaidi ni juhudi na utundu tu vinginevyo mnaweza kuwa kama dada na Kaka at the end mnafuta michepuko mnaleta maradhi ndani mnakufa mnaachia watoto kina mjomba muhidini wa bomba mbili songea uko ambao mlo wao kwa siku tatizo
 
Jitume kwa mkeo acha kulia lia hapa! Kama ugali kwao alikua ana kula mpe alichokifuata acha bla bla hapa,si ndio nyinyi mkitomaswa mnasema mmechoka!? Ni mwendo wa kuwafungia vioo tu na kama kazi hamuiwezi warudisheni kwao
Amengea cha msingi
 
Kuna vitu vya kuchosha ila siwezi kuchoka kupiga Show kwa mwanamke. Tena hata niwe busy wiki nzima, Show lazima iwepo tena ya kibabe.

Hawa viumbe ukisubiria akuambie, utakesha.
Kwel kabsa mkuu kuna vitu vya kuchoka sio show wallah
 
Kuna vitu vya kuchosha ila siwezi kuchoka kupiga Show kwa mwanamke. Tena hata niwe busy wiki nzima, Show lazima iwepo tena ya kibabe.

Hawa viumbe ukisubiria akuambie, utakesha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu vya kuchosha ila siwezi kuchoka kupiga Show kwa mwanamke. Tena hata niwe busy wiki nzima, Show lazima iwepo tena ya kibabe.

Hawa viumbe ukisubiria akuambie, utakesha.
Kiafya si nzuri
 
Kuna vitu vya kuchosha ila siwezi kuchoka kupiga Show kwa mwanamke. Tena hata niwe busy wiki nzima, Show lazima iwepo tena ya kibabe.

Hawa viumbe ukisubiria akuambie, utakesha.
hapo nilopo koleza nimepapenda....binafsi huwa anasema kama kuolewa ndo kila siku hii hapana ...mda mwingine ukianzisha hataki mpaka utumie techniques kadhaa...
 
Mwanamke ukisha piga bao anajilaza pembeni badala ya kukutomasatomasa dude liamke tena show iendelee, unakuta wewe ndio unahangaika kujirudisha mchezoni wanakera aisee
🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
hapo nilopo koleza nimepapenda....binafsi huwa anasema kama kuolewa ndo kila siku hii hapana ...mda mwingine ukianzisha hataki mpaka utumie techniques kadhaa...
Good.
Mwanamke anaweza kuwa hana mood ya kufanya, lakini ushawishi wako ukaamsha hisia zake hadi akafurahia na kufurahia mkajikuta pazuri
 
Wapo wanawake wanazingua balaa chalii yangu acha tu kila kitu mzee afanye, pia wapo wanawake ebwana balaa wanajua kucheza hao balaa, anakwambia baba kokoro twende kuoga mkienda anakupa viwili uko uko, mkirudi anataka tena yani show nzima anasimamia yeye wewe ni utekelezaji tu sasa unategemea nini hapo kama wewe mvivu endapo baba kokoro atakutana na uyu mama kokoro mdogo si lazima amuibe baba kokoro.
 
Back
Top Bottom