Waweza subiri majibu tu mkuu walau ukaambulia kituKumbe hii thread ni ya waliopo kwenye ndoa...basi poa...mi napita tu
Haina tabu, ukiona nondo za maana unitag tafadhali sawa eeeWaweza subiri majibu tu mkuu walau ukaambulia kitu
UcjalHaina tabu, ukiona nondo za maana unitag tafadhali sawa eee
Ndoa ina karaha zake. Kama hujawahi ingia kwenye ndoa sio rahisi kuelezewa, labda uelezee raha ya dunia ni nini ili twende sawaWakuu,
Nimekuwa nikielezwa hii kauli mara kadhaa sasa...Walioko kwenye naomba mtufahamishe kuhusu ukweli wa hili jambo. Na kama lina kweli kwann tunashuhudia kila kukicha ndoa zikivunjika?
Ni hayo tu.
Poa sanaUcjal
Kweri>>KWELIKweri kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji23]
Ndoa siyo kulala naked. Kurahisishiwa utamu usifikiri ndiyo umemaliza.Wakuu,
Nimekuwa nikielezwa hii kauli mara kadhaa sasa...Walioko kwenye naomba mtufahamishe kuhusu ukweli wa hili jambo. Na kama lina kweli kwann tunashuhudia kila kukicha ndoa zikivunjika?
Ni hayo tu.
Kumbe na wewe haupo kwenye ndoa mkuuAya
me pia nasubir majibu
Ngoma zingine za moto hazichezeki mkuuUkitaka kuujua raha na utamu wa ngoma basi huna budi kuingia na uicheze
Mkuu mbona unamfichia white mwenzioMkuu m nakushaur usiingie ndoa ina stress sanaaa
[emoji114]Kumbe na wewe haupo kwenye ndoa mkuu