Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, hivi wanaume na wanawake. Nipo kwenye mahusiano na mabinti wawili warembo sana, mmoja nimemzidi mwaka mmoja ni mwajiriwa na mwingine mdogo...
0 Reactions
192 Replies
10K Views
Habari za miangaiko ya kujenga taifa? Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Hivi ni mda gani mpenzi ulie anzisha mahusiano kumpa daraja la uchumba na je ni vigezo vipi ufatwa hasa wakati huu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uko kwenye daladala katoto kamekuona ulivyopendeza na wenyewe wanajua vitu vizuri ati anakuchekea, ananyoosha mikono umchukue. Unaangalia mtoto anatoka kamasi na nguo aliyovaa inamikojo...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema, “Mwenyezi Mungu Hamuangalii mwanamke ambaye hamshukuru mume wake na wakati huo huo hawezi kufanya lolote bila ya mumewe” Ewe mke...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello guys how are you doing? Through reading your threads,comments and different advises they're so informative. It's all thanks to you that I've changed my view towards men. Before, I was so...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Inatokea mkeo au mpenzi wako anasumbuliwa na maradhi ambayo anatakiwa kumuona mtaalamu wa maradhi ya kike. Halafu kwa bahati nzuri unaye rafiki yako ambaye ni mtaalamu wa fani hiyo na anafanya...
3 Reactions
84 Replies
9K Views
Wakuu, Kwa ambao mpo au mliwahi kuingia katika ndoa mtoe uzoefu wenu, Ulioa (kwa wanaume) au uliolewa (kwa wanawake) ukiwa na umri gani? Na unadhani uliwahi au ulichelewa kwa umri huo? Hii itatoa...
4 Reactions
265 Replies
20K Views
wakuu kwema? kuna binti ni rafiki yangu tu huwa tunachat mara moja moja tunapopata muda wa kufanya hivo,so leo kanambia kuna kitu anataka kunambia,suprisingly,kanitamkia tu kuwa she loves me to...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Jambo JF, Wadau hapa mjengoni mie ni MwanaJf mgeni kiasi na tangu nimejiunga na JF nimejifunza mambo mengi hasa upande wa jukwaa la siasa.Hata hivyo katika kupitia majukwaa mengine nimeona kuwa...
6 Reactions
76 Replies
16K Views
Habari zenu, Mwenzenu nina mpenzi ambaye asilimia kubwa mimi ndo msaada kwake, cha ajabu kapokea mshahara hata kunipa elfu kumi hajanipa nilienda kulala kwake hata kusema nauli hii hapa hakuna na...
8 Reactions
155 Replies
18K Views
Yupo Katika Taasisi moja ya Kiserikali. anafanya kazi kama secretary katika taasisi hiyo. ni mama mmoja mzuri kwa umbo,rangi na sura. lakini kinachoniua mimi si vitu hivyo. ni mama ambaye...
4 Reactions
99 Replies
12K Views
Amani iwe nanyi watu wa Mungu Ktk siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi LA wanaume kupenda wake za watu, sijajua hii inatokana na nini. Mlooa kuweni makini na wake zenu Awali ilizoeleka...
6 Reactions
118 Replies
10K Views
Natafutamke pm kama unaweza. Sifa. Awe mzur kiasi,mrefu kiasi mweupe kiasi mcha mungu ndo sifa kubwa kulikovyote Pm then utapata namba ya cmu then tutachat kuwasap zaidi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wakuu, Ilikuwa mwezi wa 3 mwaka huu nilipo safiri kuja Dodoma kufanya kazi maramoja katika wiki hiyo, nilikutana na mrembo hapo ofisini tukapendana japo hatukufanya chochote...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Hii ni kwa akina Dada wa Tanga hongereni sijui mna kitu gani kikubwa kuwashinda wanawake wa mikoa mingine . Hii imetokana na Mtoto wa Kitanga machachari, Schoolmate mwenzangu pale Cambridge Tz...
11 Reactions
170 Replies
21K Views
Habari zenu wakuu? Poleni na majukumu ya kila siku, Wacha niendelee na mada, Huyu binti nilikutana nae 2007 nikiwa shule A- level ilikuwa mwezi wa sita (likizo) yeye akiwa O- level nilitokea...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri miaka 27 Natafuta mke wa kuoana naye awe mwaminifu katika mapezi mwenye nia yakujenga dini yoyote rangi yoyote ila awe na shepu zuri tu umri 19-25 alie tayari aje pm au...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hili ni swali ambalo nahisi halijawahi ulizwa humu basi nami sina budi kuliuliza, Imejitokeza mara nyingi sana sisi wanaume kubagua wanawake wa kuoa, mara utasikia huyu hataki nesi au daktari au...
2 Reactions
165 Replies
13K Views
Habarini wakuu, Kwa utafiti mdogo nilioufanya asilimia kubwa wanaoishi mbali na wake/waume zao ndoa zao haziko salama,Unaweza jipa moyo kua sio wote,lakini ukumbuke haya mambo yanaendeshwa kwa...
14 Reactions
169 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…