Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TABIA ZAO KIMAUMBILE NA KIMAPENZI: Kaa ni watu wenye tabia ya hisia nzito, wapole na wenye huruma. Ni wenye dhamira ya ulezi na kuwaangalia au kuwahurumia watu wengine, hiyo inaonekana waziwazi...
3 Reactions
40 Replies
17K Views
Wakuu kuna binti nilisoma naye undergraduate alinizioea na bado kanizoea sana hadi mchumba wake akaanza chuki na majungu kwangu sasa binti katualika rafiki zake kadhaa kwenye sherehe ya sendoff...
5 Reactions
91 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Nna rafiki angu anaboyfrend, siku za karibuni amemkazia boyfrend akamtambulishe japo kwao voz wana miaka 6 ila hawajatambulishana kwao. Boyfrend akasema hawezi kutambulisha...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Trump playboy president Mke wa kwanza ameandika kitabu " raising Trumps " Ivana Trump .Ivana Trump amesema yeye ndio mshauri wa Trump kuhusu Tweet na Ana direct number ya Trump na Yeye ndio First...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwanamke yeyote duniani thaman yake ipo kwenye kutunza na kuhifadhi mwili wake. hata mwanamke awe mzuri kiasi gani kama watu wengi wamepita anakuwa hana thamani tena machoni pa wanaume. angalia...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Heshima kwenu wana MMU. Huu uzi ni kwa ajili ya wale wapenda mashairi yanayohusu Upendo/mapendo, hivyo basi nakusihi kudondosha shairi lako la kiswahili au kiingereza kwenye sehemu ya comment...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kula umeme mwingi katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali...
8 Reactions
55 Replies
6K Views
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana...
9 Reactions
325 Replies
20K Views
Mahusiano yangu ya kwanza nilikaa almost miaka 5. Huyu ni college mate aliniacha yeye ya pili miaka 3. Huyu jamaa nilimuacha mimi kutokana na sababu za kifamilia kutoka hapo sijawai kudate tena...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Siku hizi watu hupenda ngono si mapenzi, wanataka kugaiwa penzi si upendo. Kujihalalishia uovu kuwa wema. Ndoa zinafungwa kwa ajili ya tamaa ya ngono si mapenzi tena. Hamu ikiisha tunasikia stori...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
A successful relationship doesn't require an expensive car, a big house or a million dollars. You can have all the above and still have a miserable relationship. A successful relationship requires...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana jamii. Kwa muda mrefu kidogo nimekuwa nikijaribu kuchunguza hili suala kama ni kweli ama siyo na kama ni kweli sababu ni nini. Ninegundua pasi na shaka kuwa mke hufurahia sana...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekaa nikifikilia babu yangu alikua na wake 7.. baba 4 Naamini mimi ntakua na 2 au 3 Mtoto wangu.... lazima atakua na 1 Trend ya kuoa inaenda inashuka hadi tumefikia sasa kwenye mmoja Hili ni...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu nakuja jukwaani kuelezea yaliyonikuta siku ya leo, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 bahati nzuli nilipigiwa simu na mama yangu mdogo kua kuna binti mahali flani ananifaaa. Basi...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Hapo vipi! Juzi nilikuwa na stress zangu, nikaingia chimbo mmoja ili nipate moja baridi. Mara nikamuona mrembo mmoja amekaa anakula mingo kutoka na kutogegeda muda mrefu ikabidi nikaze roho...
6 Reactions
76 Replies
6K Views
Tafuta mwanamke wa aina hii.... 1.Ambae anaamini uzuri wake ndio kila kitu 2.Mashoga zake wana magari halafu yeye hana 3.Papuchi kwake ni km Incubaotor tu 4.Ana simu mbili au zaidi halafu mitandao...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Leo twende moja kwa moja kwenye neno bila kuchelewa. Hapa nitajikita zaidi kwa wadada wa kazi, wadada wa kazi kwa jinsi tunavyowatreat wamekuwa chanzo kikuu cha sisi wanawake...
8 Reactions
104 Replies
20K Views
Habari zenu wanajamvi, Daaaa... Maisha yamekuwa hatarini sana kwangu kwa muda huu, yani nakosa hata amani ya kuzunguka mtaani. Ishu iko hivi.. Kuna kaduka kako mitaa ya geto huwa napenda sana...
4 Reactions
65 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.. Je ni changamoto zipi umeshakutana nazo ukiwa ndani ya ndoa ama katika mahusiano zilizosababishwa na smartphone.. Binafsi nikiwa kama mtoa huduma flani...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarin za leo wanajukwaa. Najitokeza hapa nikiwa na nia ya dhati kabisa ya kutafuta mchumba, ambaye tutakua nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana na kutengeneza familia yetu. Nina umri wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…