Changamoto za smartphone katika ndoa/mahusiano

Changamoto za smartphone katika ndoa/mahusiano

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,267
Reaction score
12,736
Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Je ni changamoto zipi umeshakutana nazo ukiwa ndani ya ndoa ama katika mahusiano zilizosababishwa na smartphone..

Binafsi nikiwa kama mtoa huduma flani, kwa wiki nashika simu za watu zaidi ya 1000, contacts list yangu Ina majina zaidi ya 15000, hili ni tatizo kubwa kwa upande wa pili( home) wateja huwa hawachagui muda wa kuwasiliana na wewe, anaweza piga hata saa nane ya usiku..inatokea sana aidha kwa nia nzuri, Ama nzuri zaidi, ama binafsi zaidi nje ya kazi Ama vyovyote vile..inafikia kipindi namba ya kazini c namba ile inayofahamika nyumbani lakini bado changamoto haziishi.
 
Nashkr sijawah kutana nazo[emoji120]

Na kinachonisaidia sipendi kukagua simu ya mwenza maana najua najitafutia presha
Yangu akitak aondoke nayo tu
 
Kukutana na wadada tofauti na picha walizonitumia watsApp, mara wengine weusi, mara wembambaa, ndio maan nazichukia selfie.
 
Passcode, finger print, random password, pin code vyote hivyo vimewekwa katika simu moja..yaliyomo humo ndani ukikagua moyo unaweza kupasuka
 
Back
Top Bottom