Habari wanajamvi,
Nna rafiki angu anaboyfrend, siku za karibuni amemkazia boyfrend akamtambulishe japo kwao voz wana miaka 6 ila hawajatambulishana kwao.
Boyfrend akasema hawezi kutambulisha kwasababu hana hela. Kama vipi anaomba mdada amkopeshe japo milioni 3 ili hata wazazi wake wakimuuliza umetutambulisha sasa unamahari?
Aseme anayo iyo m3 ....eti jamani ni haki kumkopesha mwanaume mahari??