Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Siku hizi watu hupenda ngono si mapenzi, wanataka kugaiwa penzi si upendo.
Kujihalalishia uovu kuwa wema. Ndoa zinafungwa kwa ajili ya tamaa ya ngono si mapenzi tena. Hamu ikiisha tunasikia stori kama za mondi.
Hata sijui nawaza nini.
Kujihalalishia uovu kuwa wema. Ndoa zinafungwa kwa ajili ya tamaa ya ngono si mapenzi tena. Hamu ikiisha tunasikia stori kama za mondi.
Hata sijui nawaza nini.