Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanza niweke wazi mimi Binafsi Sijafunga Ndoa ila kuna mwanamke naishi nae yapata kama miaka 2 (Uchumba sugu), Ninayoyazungumza ni experience yangu tu binafsi yale ninayoyapitia hapa kwangu...
29 Reactions
75 Replies
6K Views
Wana jf hawapendi kuambiwa ukweli, ukweli unauma. Kama tendo la ndoa mke wako anakupa kwa kukupangia siku,. Mara nimechoka, mara naumwa mara tantalila. Pole. Mke wako anachepuka, hana tena hisia...
5 Reactions
9 Replies
710 Views
Habari zenu wakuu; Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume. Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi...
11 Reactions
72 Replies
6K Views
Mapenzi sio mchezo. Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha. Navumilia mengi ana badirika kama...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia...
24 Reactions
152 Replies
6K Views
Kwenye swala la kupata mpenzi wewe shusha tu vigezo unapata haraka sana, Shida yetu tunataka aliyekamilika sana.. tulizike na kidogo. Mfano mimi hata kama nilitaka Manzi ambaye kwao ni Tajiri...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kila nionapo picha Kama hizo huwa nabaki Kama nusu saa hivi,nikiwa nimeganda na kujiuliza,Ni furaha ya aina gani walengwa Wanayopata baada ya kuamua kwa mapenzi yao wenyewe wafanye kitu Kama...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Siku hizi wasichana wengi wazuri au warembo, ili kuwanasa, lazima uwahonge pesa nyingi. Jamii imebadilika sana si kama zamani, ambapo mapenzi yalikuwa hayaangalii una pesa kiasi gani, mapenzi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane. Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Toka nijiunge JF miaka kenda sijawahi kuona thread yoyote ya kutoa pongezi kuwa mwanamke/mwanaume kapata mchumba humu Jamii Forums. Huko kwenye jukwaa la love connect kuna nyuzi nyingi sana za...
18 Reactions
407 Replies
21K Views
Leo kijiweni naona walevi tu ndio wamekaa hakuna FACT kama jana. Mzee wa zamu leo kasema haya. KUNA UKWELI? Nimekaa na Wazee Apa Kijiweni Wanasema Mtoto Akizaliwa Ametanguliza Miguu Akija Kuwa...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Kwamba...... Mwanamke yoyote yule akijua tu anaenda Kushiriki Tendo la Ndoa au Tendo la Uzinifu na Mwanaume basi shurti lazima awe amevalia Chupi ama ya Rangi Nyeupe au Rangi ya Pinki tu? Na pia...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani, Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani. Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Yalitokea huku kwetu Kwamtogole, kuna dada mrembo wa kuvutia, aliolewa na jamaa mmoja mpole na mstaarabu sana. Yule dada alikuwa mzuri sana na hata akipita barabarani si wanaume tu hata wanawake...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwenye mapenzi ubunifu hauishi, hata hatujamalizana vizuri na utundu wa kufinyiwa kwa ndani (utalia kama mtoto 😁), Lishaibuka jipya saizi kuna utundu mpya umebuniwa. Pipi Hizi hutumika pale...
23 Reactions
251 Replies
136K Views
Utakuta mwanamke yupo katika mahusiano anayoamini yanaelekea katika ndoa, ila baada ya muda utakuta mwanamke ana mimba au mtoto huku mhusika akiwa amebadili mawazo ya kumuoa. Hapo lawama nyingi...
2 Reactions
114 Replies
14K Views
habar wana MMU, Nikuwa mpnz wangu amechukia sana baada ya mimi kumuambia hivi,,sio mara ya kwanza,,Lakini nazan ni ukwel kua sijapanga kua nae hapo baadae,, mm ni mwanafunz wa chuo nayeye pia..
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari Wana JF. Nimehitimu mwaka huu chuo ngazi ya shahada, lakini Nina mkasa wa mahusiano naomba ushauri wenu waungwana. Nilideti na msichana toka niko mwaka wa kwanza lakini siku za kwanza...
1 Reactions
171 Replies
13K Views
Wajomba na mamshangazi hebu tuambizane hapa tupeane ABCD kwenye mahusiano na namna ya kuyalinda... Kwenye suala la mawasiliano ya long distance au hata fupi fupi yupi anapaswa kumtafuta mwenzake...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
YAMENIKUTA; MCHEPUKO umeniloga siwezi kufanya Mapenzi na Mke wangu na sasa umeolewa! Naomba unisaidie kupost maana nahisi kuchanganyikiwa. Ninasoma comments labda nitakutana na suluhu nitakuwa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom