Nahisi ananipenda

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Habari zenu wakuu;

Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume.

Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi, muda mwingine tunaangaliana kwa kuibia ibia halafu kama tunafurahi hivi.

Sijui ni nini hiki ila mimi nimempenda kweli na nauhakika anajua au hata kuhisi hivyo, sijui naanzia wapi. Kila nikimkumbuka natamani Jumapili ifike nikutane naye, nifurahi.

Wajuzi wa haya mambo naombeni uzoefu wenu.
 
Sijui ni nini hiki ila mimi nimempenda kweli na nauhakika anajua au hata kuhisi hivyo, sijui naanzia wapi. Kila nikimkumbuka natamani jumapili ifike nikutane naye, nifurahi.
Wajuzi wa haya mambo naombeni uzoefu wenu.
We ni fala kweli, yaani mtu akikuangalia tayari anakupenda? Huenda anakufananisha na nyani wa nyumbani kwao, na wewe ulivyo zuzu unakenua kama huyo nyani.
 
Habari zenu wakuu;
Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume.

Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi, muda mwingine tunaangaliana kwa kuibia ibia halafu kama tunafurahi hivi.

Sijui ni nini hiki ila mimi nimempenda kweli na nauhakika anajua au hata kuhisi hivyo, sijui naanzia wapi. Kila nikimkumbuka natamani Jumapili ifike nikutane naye, nifurahi.

Wajuzi wa haya mambo naombeni uzoefu wenu.
Toa location ya Kanisa ili kuongeza waumini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom