Wanawake wa Kitanzania ni lini na wapi mlikutana katika Mkutano wenu Mkuu kisha mkaja na haya ' Maazimio ' ya namna hii?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,860
Kwamba......

Mwanamke yoyote yule akijua tu anaenda Kushiriki Tendo la Ndoa au Tendo la Uzinifu na Mwanaume basi shurti lazima awe amevalia Chupi ama ya Rangi Nyeupe au Rangi ya Pinki tu? Na pia katika Chupi za Rangi zote ni Chupi ya rangi moja tu Nyeusi ndiyo huwa inabaguliwa Kimatumizi ( namaanisha Kiuvaliwaji )

Leo Dada zangu, Mama zangu na Wapenzi wangu nina nyie na nahitaji majibu yenu juu ya hiki / hili.

Nawasilisha.
 
Nasubiri waje watujuze ....
Ila nakumbuka kuna mpenzi wangu mmoja .. siwezi kumsaau japo ni miaka mingi; alikuwa havai kabisa nguo yoyote ya ndani; anajitupia blauz na sketi ndefu kweli kweli ... eti kisa Dar kuna joto sana!
 
Na wale ambao wanakuja wamevaa mbili kwa mpigo tuwafanyaje mkuu?
 
Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa huyo Demu wako alikuwa ni Mwanachama Hai na Mtiifu wa Kambi Kuu ya Kuondoa Nyege zote Jijini Dar es Salaam ya ' Kimboka ' pale Buguruni sema Wewe tu ulikuwa hujui ama hujamshtukia. Na pengine alikuwa haoni haja ya Kuvaa ' Chupi ' kwakuwa Yeye kila hatua yake ya Kutembea barabarani huwa anakuwa ' Sokoni ' hivyo akimdaka tu Mtu ' Fasta Fasta ' wanamalizana ' Kiaina ' kisha anamalizia Kukuletea ' Makombo ' ya Wanaume wenzio.
 
Halafu unaonekana na Wewe pia ni Mchafu sana Mkuu. Hivi utalalaje na Mwanamke anayevaa ' Dabo Chupi ' kabisa wakati unajua fika kwamba Kisayansi na Kitabibu haitakiwi? Na huyo Mwanamke nae lazima tu atakuwa Mchafu mwenzio na huenda ndiyo maana mkatengeneza ' Chemistry ' yenu ' tukuka ' ya ' Mapopoma Wapenzi Wachafu '. Umetuaibisha mno Sisi Wanaume wenzio.
 
Nakukatalia;
Kwanza alikuwa mtumishi wa ofisi kubwa tu - mheshimiwa flani; kwa kipindi niko naye, nilikuwa namsindikiza kwa gari lake hadi ofisini. Alafu wakati wa kutoka ananipigia simu namfuata hadi hotelini tunaendelea na program zetu.

Jambo jingine mimi mwenyewe niko very selective; sikuwahi kuokota wadada wa club hata siku moja tangu nimeyajua hayo maneno.
 
Naomba ' logic behind ' huyo Demu wako kuwa Mtumishi wa Ofisi kubwa, Mheshimiwa fulani, ana Gari lake na huwa unamkuta Hotelini na suala zima la Yeye kuwa ' Malaya ' na ' Kupuyanga ' Kwake kote huko huku ' Mbunye ' yake ikiwa na Uhasama na Chupi.
 
Siwezi ligi mkuu; ninachokiamini ni kwamba alikuwa mtu mwenye heshima zake!
 
Kuhusu wadada kuto kuvaa chupi kwa Dar nazani sijui ni fashion au ni joto kweli kama wengi wao wasemavyo. Mimi ni Muanga wa wadada wasio vaa vyupi lakin pia hutegemeana na aina ya Nguo aliyo vaa.

Nime bahatika kudate wadada wastarabu wa tabia lakini ndio hivyo chupi wengi wao haikuwa kipaumbele ...Naweza kusema hamna mahusiano baina ya kuto kuvaa chupi kwa wadada na Umalaya.

Narudi kwenye mada....Wadada we wengi hupendelea hizo rangi za vyupi tajwa ikiwa ni ishara ya usafi na muonekano nadhifu kwa mtumiaji wa K yake (yaani kwenye mgegedano)
 
Halafu unaonekana na Wewe pia ni Mchafu sana Mkuu. Hivi utalalaje na Mwanamke anayevaa ' Dabo Chupi ' kabisa wakati unajua fika kwamba Kisayansi na Kitabibu haitakiwi? Na huyo Mwanamke nae lazima tu atakuwa Mchafu mwenzio na huenda ndiyo maana mkatengeneza ' Chemistry ' yenu ' tukuka ' ya ' Mapopoma Wapenzi Wachafu '. Umetuaibisha mno Sisi Wanaume wenzio.
Mbona una povu hivi mwambie Dada yako asije tena na chupi mbili next time nitampost kama Nand*
 
Back
Top Bottom