Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,554
Kila nionapo picha Kama hizo huwa nabaki Kama nusu saa hivi,nikiwa nimeganda na kujiuliza,Ni furaha ya aina gani walengwa Wanayopata baada ya kuamua kwa mapenzi yao wenyewe wafanye kitu Kama hicho.
Na huku wakipendana kwa dhati na si kwa unafki, au kwa tamaa,
Huwa ni raha Sana.
ila kuna wengine wanafanya hivi kwa tamaa tu ya pesa, au kwa ajili ya mda,umri kwenda nk.
Asikuambie mtu. Hakuna ndoa tamu Kama ya kupendana kwa dhati.
Na hakuna ndoa chungu Kama ya tamaa.
%kubwa ya ndoa ni za tamaa,na ndo maana vituko haviishi ndani.
Jaribu kuchunguza ndoa yako.