Habari wana jukwaa nisiende mbali,kama kichwa kinavyojielezea hapo juu,nilikuwa napenda kujua ni sababu zipi zinazofanya mwanamke au mwanaume kuoenda kufanya mapenzi kila mara maaana mpka najihisi...
Kwakweli nimekuwa nikijiuliza sana kama nimefall out of love na mume wangu, nikagundua bado nampenda. Kila mtu ana mapungufu yake, sote binadamu. Sikuwahi kufikiria ku cheat hata siku moja no...
Kwanza kabisa niwasalimu vijana wenzangu tunaowaza kujikwamua katika umaskini. Kumekuwa na dhana ambayo mimi kwangu naiona ni kama chachu ya maendeleo kwa vijana wa kisasa, dhana hii ni juu ya...
Za Siku ya leo,
Nisiwachoshe sana,naamini watu wengine ni waajiliwa sehem mbalimbali za kazi, na kuna wakati kunatokea offer au shighuri ambazo zinakulazimu uwe mbali na mpenzi au hata kama sio...
Furaha ya kweli inatoka ndani yako.
Haitoki nje, kwenye vitu, mali au chochote. Kwa lugha nyepesi ni kwamba sisi ndio tunaoweza kuamua kuwa na furaha au kuikataa.
Ukiendelea kusubiri furaha...
Em niambie huwa kunanyota za kuchelewa eti? au mnifundishe jinsi yakuwahi kumpata mpenz ambae naweza kuchelewa tena maan nahc nahuyu ntakae mfuat saiv ntakuw nmechelewa nnanyota nzur mie...
MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls
MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?
DADA: ndio nimepanga kabatini.
Mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV...
Wasifu wangu
Umri: 28
Dini: mkristo
Kazi: Nimeajiriwa
Natafuta mpenzi baadae awe mke umri kuanzia miaka 26 kushuka chini , awe ameajiriwa au awe na shughuli ya kumuingizia kipato, atokee mikoa...
Asalaam, za hapa?
Basi bwana miaka kadhaa iliyopita katika harakati za kusoma nilikutana na jamaa Kwenye usajili akanichangamkia sana kama ananijua. Sikustuka maana wanafunzi ndivyo walivyo...
Wasalamu,
Awali ya yote nipende kusema tu kwamba nimekua nikisoma post nyingi za JF kama geust hasa hili jukwaa pendwa.Nimekua nikipata elimu mbalimbali juu ya hii tasnia isiyo na formal...
Wasalaam wakuu
Ni ukweli usiopingika macho hayashibi kutazama. Utaona leo na kesho yatatamani kuona tena.
Sasa linapokuja suala la mapenzi macho yamekuwa yakihada watu wengi na kuwasababishia...
Girlfriend wangu recently amehamia mji mwingine (Shinyanga) about 10hrs away. Toka aondoke sio muda sana ni kama miez miwili tu sasa, ila naona mabadiliko ndani ya mahusiano yetu.
I love her...
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa...
Jamani nataka nijue kabila la wafipa ama kwa ujumla makabila yote ni shilingi ngapi hela ya kuweka katika barua ya kishika uchumba (kujitambulisha uchumba)
Sent from my TECNO-J8 using...
Nakumbuka wakati nipo chuo mwaka wa mwisho kuna room mate wangu mmoja nilikaa naye mabibo hostel alikuwa ametokea Bukoba.
Jamaa alikuwa amesoma shule za seminari isipokuwa chuoni tu ndo alikuja...
Habari wanabodi,
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
Leo najitokeza huku kuongea na dada zangu. Haswa waliojaliwa siha nzuri na Mwenyezi Mungu. Tangu utotoni wakiwa wanasifiwa kuwa wao...