Aisee... leo asubuh ndo jamaa yangu mmoja anaitwa Amani ndo kanipigia simu. jamaa alienda Tanga week tatu zimepita kikazi. mara ya mwisho tumewalisiliana nliongea naye kwa simu akanambia kuna kazi...
Jamani nina shemeji yangu kila anapogombana na kaka yangu anakuja kuleta mashitaka tena akisema hamtaki tena na wanataka kutengana lakin nikiwa nataka kuleta suluhisho wanapatana weak moja...
Bwana Yesu asifiwe wapendwa?
Hivi kwa mfano ghetto mnaishi nyie wawili tu, halafu mchele, unga, sukari, majani ya chai, chumvi na mafuta vyote vipo ndani. Je kiuhalisia unatakiwa umwachie...
Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye nyumba kila baada ya miezi sita mitatu au mwaka..
Wanaoishi...
Hivi mwanaume anaposem anataka mwanamke mwenye dini anamaanisha mtu aliyeisoma dini,akaijua ila haitilii maanani anaifanyia kazi kiuvivu uvivu au Mtu aliyesoma walau kidogo lkn anapractice?
Yupi...
Habari zenu bandugu na jamaa.Leo kachero wenu nataka niteme cheche kwa dada zetu wa humu jf na wengine wengi ujumbe huu uwafikie.Ujumbe wangu uta ambana na picha ili kuonyesha hali halisi pia...
Mke mmoja aliulizwa:
Ni kipi kimemfanya mumeo akupende kiasi kwamba asione yeyote mwengine duniani wa kumsifia ila wewe, Ilhali wapo wenye uzuri kukuliko?
Akajibu
Hakika sikuwa mzuri wala sina...
NAOMBA MSIJE KWENYE SHEREHE YA MIAKA 10 YA NDOA YANGU, NJOONI KWENYE MSIBA WANGU.
Baada ya kukaa kwenye ndoa takriban miaka 10 kasoro miezi miwili wakafanikiwa kupata watoto wawili wa kwanza...
Hapa duniani:
1. Ukikosa pesa utakosa thamani na upendo kwa ndugu, wazazi, jamaa na marafiki.
2. Ukikosa pesa kila baya ni lakwako, mema yako mengi hayataonekana ila mabaya machache yatakuwa na...
Mambo vp watu wangu wa nguvu...great thinkers ..i salute you guys.
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri ..lakin kwa ruhusa yake nikamuomba nilete huu uzî hapa ili tujifunze kîtu..tiririka
Niende...
Nimekutana na msichana miezi miwili iliyopita nikampa mistari kwanza kaniambia anamtu wake sikukata tamaa baadae ameniambia eti kama nina upendo wa kweli nimtumie laki tano kuthibitisha upendo...
Habari zenu.
Kaka na Dada zangu ninaswali ambalo linanitatiza sana naombeni mnisaidie kuna uwezekano wowote wa mtu ke/me kujiendeleza katika mahusiano yaliyopita au aliyoyavunja kiroho bila yeye...
Ilikuwa mwaka 2008 kipindi hiko nipo kidato cha 5 nikiwa naelekea Tuition pale mapambano Mwenge kipindi hiko stendi ya daladala iko Mwenge.
Basi kilongalonga changu kikaita ile kupokea nasikia...
Mr. Nevian alikua bize kuchat katika simu yake, hakuwa akimsikiliza mkewe ambaye alikuwa akimuambia kuwa kapata kazi na kesho yake ndiyo alikuwa anaenda kuripoti. “Ofisini kuna yule Bosi wangu...
mambo vipi wananchi wa magufuli mada hapo juu kama inashtusha au imekaa kawaida lakini kuandika hv ni kwamba naomba kuuliza au mm nimjinga nashindwa kuelewa kuhusu ndoa ya mkeka, nina mambo mawili...
Habari ya muda huu wakuu.
Ukweli ni kwamba mimi nimelelewa na mama tu, mzee alifariki miezi michache kabla sijazaliwa. Hivyo msamiati wa baba hauko kabisa kichwani mwangu.
Naomba useme neno...
Ujasiri wa wanawake wa kimachame umekuwa mara kwa mara ukihusianishwa na mauaji yale yaliyotokea miaka ile ya 1886 ambapo wanaume kadha wa kadha wa kimachame waliuawa kutokana na fitina ile...
Habari za weekend wananchi wenzangu,
Napenda kuwapa heshima kubwa wote wanaochangia humu JF.
Nimekuwa nikifanya research juu ya watafutao wapenzi, wake, michepuko na mirejesho yao pia...
Mwanaume mmoja Raia wa Nigeria
ambaye anaishi Afrika Kusini,
amenunua gari ya kifahari aina ya
Mercedes-Benz G-class, na kumpa
mwanaume mwenzake, ili kumuomba
msamaha kwa kumpa ujauzito mke
wake...