Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna walioni- save kwenye simu zao kama "shosti". Kuna walioni-save kwa majina ya kike. Kuna wake za watu ambao wamethubutu mpk kunikaribisha makwao na kunitambulisha kwa waume zao kama " mtunza...
2 Reactions
102 Replies
10K Views
Hope mmekuwa na j2 njema Wadau niko kwenye ndoa mwaka wa tano sasa. Hatujabahatika kupata mtoto na wife. Katika hili sijaona shida kubwa kozi tunamwamini Mungu, tunaimani siku moja tutapakata...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Binafsi swala hili linanichefua yaani unakuta mdada katumia mkorogo anio ang`aa kama nyanya iliyoiva, utashangaa akigeuka mgongo mweusi kama mkaa, makalio ndio usiseme meusi kuliko black wa...
8 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari zenu jukwaani: Naomba tushare hapa Ni maneno gani mazuri ya malovidavi tuachane na common yaliyozoeleka Tutumie ya kisasa ya kwenda na wakati (mwendo kasi): Nataka yawe kwa English na...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
*KITU USICHOKIJUA ,,,,,unapiga picha ktk majengo mazur,magar mazuri,,umevaaa vizur ,,maeneo ya kujidai,,,,kwa kufanya hivyo unawachanganya malaika wanaogawa riziki maan wanajua umeshafanikiwa...
0 Reactions
6 Replies
861 Views
Sorry team nnaomba ushauri Nina girl ambaye tumedumu almost miaka 4 Hapo mwezi wa 3 alisafiri kwenda Mwanza Ikumbukwe kuwa wakati anaondoka hatukusex kama miezi miwili Ikawa kila alipokuwa na...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanawake wa africa bwana Ilikuwa siku kadhaa zilizopita Kuna mwanaume mmoja anasoma chuo cha udaktari IMTU Ana mke wake ni mwalimu wa shule ya msingi maeneo ya salasala, Mke kaishi na mme wake...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekua nafanya aka kautafiti yapata miaka 10 nimejaribu kutumbukia kwenye mashimo tofauti tofauti ya wamama na mabinti vigori kama wale ambao jamhuri inatukataza kuwasogelea. Nilichogundua ni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kusaidiana katika jamii ni muhimu sana, shida haina adabu wala haichagui. Sisi tunaoidhi Dar Mara nyingi tunapokea wagonjwa wanaokuja kutibiwa Muhimbimbili. Mgonjwa ni mtoto wa jirani yenu...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
KUBAKA MPENZI WAKO Ni kufanya tendo là ndoa na mwanamke bila idhini yake ikiwa idhini hiyo mwanaume kaipata kwa -Nguvu/kumlazimisha mwanamke baada ya dushe kusimama ghafla baada ya kuwa...
26 Reactions
262 Replies
33K Views
Akizungumza mubashara kabisa katika Kipindi Kizuri cha Kila Jumapili cha Mazungumzo ya Familia ambacho kinafanyika kupitia Super Brand Radio One na kinachoendeshwa pia na Watangazaji Super Brands...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanajamii narudi tena humu na maada hii ya kiuchunguzi zaidi sana. Kila mwanaume anajisikia furaha na kujiona kudume pale tu anapodumu kwa muda mlefu akimkuna vilivo mpenzi wake au mke wake...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
Kila ukimwambia bby i love you so much au nakupenda sana mpenzi wangu yeye husema ahsante au thanks baadala ya kusema ilove you too. Ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia anasema ahsante...
12 Reactions
89 Replies
20K Views
Sawa na mada hapo juu, Ki ukweli mwanamke maji ya kunde, asiyekuwa mnene wala mwembamba, si mrefu wala mfupi ni wazuri sana kwenye game. Salute kwao aisee, mimi nawafagilia sana wanawake wa aina...
8 Reactions
119 Replies
15K Views
Habari wanajukwaa Tuliowahi kutembea na ndugu wa familia moja tujuzane ilikua vipi mpaka mission ikafanikiwa. Kwa upande wang niliend eneo fulan kama mgeni ile wakati naondoka nikachukua contact...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi, Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa. Nimekuwa nikimfatilia dada mmoja anafanya kazi jengo jirani na ofisini kwetu, kwa kipindi kirefu sasa amekuwa akinizungusha. Dada mmoja ambaye...
47 Reactions
281 Replies
20K Views
kwa masakitiko kabisa napenda niwaambie wenzangu wanaJF kuwa lile suala ambalo nliwaeleza siku kadhaa zilizopita na nikasema limenitesa zaidi ya week 2 jana nliamua kulitua. nlionana na aliyekuwa...
24 Reactions
168 Replies
17K Views
Siku hizi hatujali kabisa, hata chembe ya aibu hatuoni yani tunafanya kama vile hakuna kitu kitakachodhuru nafsi. Kila jambo ovu tunahalalisha kuwa jema kabisa.
8 Reactions
79 Replies
6K Views
Am 30 yrs old i reside in Dar and my tribe is Chaga, am back again looking for a serious lady to be in relationship with c'se i have'nt been successful in the first thread. I have a diploma in B.A...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za siku wanajamvi, Niende tu kwenye stori yenyewe kulingana na heading hapo juu, Jana niliwahi sana kufika home so wife yeye alichelewa nilimkuta beki tatu amejilaza sebuleni akiwa amevaa...
5 Reactions
81 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…