BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nianze kwa maneno ya Mtukufu Rais Mugabe aliyowahi kusema 'when a beautiful woman has no brain her private parts suffers most'.Mada hii inahusu baadhi ya wasichana waliofika kwenye fainali za miss Tanzania.
Shindano hili linaloendeshwa na UNCLE, linatoa fursa kwa wasichana kupata zawadi na exposure lakini yako mengi nyuma ya pazia.
Washiriki asilimia 98 Ni watoto wa maskini wanarubuniwa kuwa watapata
Zawadi/kazi etc.matokeo yake wakiwa kambini wanakutanishwa na wanaume wakware(mapapa)ambao baadhi hudhamini hayo mashindano.
Wasichana wengi wanakuwa hawana nguo za kuvaa kwenye shoo, viatu etc inabidi watoe ushirikiano kwa hao mapapa ili wapate hivyo vitu kiurahisi wawezi kushiriki shindano kwa ushindani.
Wasichana wengi wanaofikia hatua ya fainali wanajengewa kisaikolojia kuwa wao ni mastaa,wazuri mnoo,wana fursa.
Matokeo yake hawa vimwana wakirudi mtaani wanashindwa kuendana na maisha waliyoyaacha wanaanza kuishi maisha ya ndotoni .
Msichana mmoja anakuwa na mabwana wasiopungua watano, kila mtu na majukumu yake ya uwezeshaji.
Hakuna ajira ambayo inaweza kumfanya huyu mrembo akidhi mahitaji yake kwakuwa yeye amejengwa kisaikoloji kuwa ni star!
Mwanaume ukiwa na hawa wanyange jua mko kibao mnaohudumia kila mtu kwa nafasi yake kama hutaki kuwa mme mwenza kaa mbali na hawa wadada.
Mnayoyaona/kuyasikia ya WEMA ana nafuu kwakuwa anamulikwa na media,hawa walio offline ni hatari nina uzoefu na nilichokisema na ushaidi so dont say we did not warn you.
but as usual the choice is yours.
Karibu wadau.