Lilly-lee
Member
- Nov 25, 2017
- 23
- 25
Jamani naomba nitoe ya moyoni hivi kwanini kabla ya ndoa watu ulikuwa wakati mpo kitandani mnakumbatiana mnalala kimahaba.
After few months kila mtu analala kivyake tena kupeana migongo ukiona siku umekumbatiwa ujue kipo kinachohitajika.
Serious guys inaboa men/woman tubadilike kuchuja kwa mapenzi inadepend na nyie wenyewe hata mboga usipoitia maji na mbolea inakufa therez no old love.
Ni hayo tu