Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni...
10 Reactions
105 Replies
3K Views
Unaweza ukalichukua poa poa hili swala Ila litakapokukuta ndio utanielewa vizuri ujue zamani mwanaume ata kama Wote mlikuwa wafanyakazi wa serikali kulikuwa kuna ule urahisi wa mwenza wako kuhamia...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana 2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake". Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu kadri teknolojia inavyokua ndivyo sisi ma (gifted one) tunaendelea kurahisisha maisha Je umewahi kuona vijana wanakula maisha town wanakula Bata lakini hawana kazi za kufanya? Jibu ni hili...
2 Reactions
10 Replies
549 Views
YAMENIKUTA; nilipata pesa na kutaka kuwa mwanaume ndani ya ndoa yangu! Maisha haya acha tu, hivi kwanini kuna mambo yanatokea halafu ndiyo mtu unakuja kujutia baadaye. Nilinunuliwa Kitabu na...
17 Reactions
29 Replies
3K Views
Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kijana wa kiume ana kazi nzuri lakini bado anaishi kwa wazazi,sisi marafiki zake tukimshauri aondoke akajitegemee apambane na changamoto za maisha haonekani kama anatusikiliza tunayo mweleza...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu wana Jami Forums. Mwanamke aliyezalia kwao bila ndoa ameng'ang'nia ndani kwangu kwa singizio cha kwamba anataka nimuoe,huyu mwanamke nilimtongoza kimatani tu, na kweli...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Kukatika Sana kitandani au kulala Kama gogo hakuna mchango wowote Kwenye kuimarisha ndoa yako. Kinacho dumisha ndoa ni masikilizano, maelewano, kuthaminiana, kuaminiana na kuvumiliana. Kama...
7 Reactions
56 Replies
15K Views
Bila kuwapotezea muda na mambo ya salamu. Nitaanza mimi. Wanawake na makabila yao niliyowahi kuwala ni kama ifuatavyo Wakinga 15 Wapare 12 Wanyakyusa 10 Wachaga 09 Wahaya 06 Wasukuma 05 Wahehe 04...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Picha linaanza mnapokuwa kwenye mahusiano mnakuwa na adabu, utii na usikivu Mnafichaga rangi zenu halisi mna pretend sana Mwanamke atajishusha sana, kupokea cm Kwa wakati, mesej zinajibiwa Kwa...
1 Reactions
6 Replies
437 Views
Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy
0 Reactions
3 Replies
567 Views
Sijui kama nachunguza sana, lakini huwa hivi... Mwanaume na Mwanamke wakikutana kufanya tendo Kuna hisia nyingi za tofauti uonekana. Nini hasa kimekuvutia kufanya ngono na huyo mwenza wako ...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
19 Reactions
349 Replies
17K Views
Kuna mdada gani sasa hivi hana kisirani? Kuna mdada gani sasa hivi agombani na mmeo hata kama sio physical mnaenda round saikolojiko? Its 2025, bado kijana anawaza ukabila wa mademu. Mademu wa...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila...
8 Reactions
74 Replies
2K Views
Ndoa nyingi sasa hivi zina mgogoro sana, unakuta wanandoa wengi hawana maelewano mazuri, tofauti na ndoa miaka ya nyuma watu walikuwa wanadumu kwenye ndoa miaka mingi pasipo ugomvi wala matatizo...
1 Reactions
14 Replies
621 Views
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi. Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea...
2 Reactions
94 Replies
9K Views
Back
Top Bottom