Mtoto wa mwenye nyumba ananitaka

Mtoto wa mwenye nyumba ananitaka

Kwenye maisha kuna kitu tunaita watu kuzuia ndoto zako na kukutumia wao kwenye ndoto zao,mfano ndoto yako ilikuwa ununue Benz lakini mwenye ndoto ya kuuza magari ya Toyota anakushawishi kuwa Toyota ni bora mwisho unanunua Totyota bila kujua umemuwezesha mwenzio ndoto yake

Sasa jiulize wewe ulikuwa na mipango gani?kuishi hapo milele?hukuwa na mipango ya kuhama labda ukajenge kwako?Ukianzisha uhusiano hapo what if Baba mwenye nyumba aka ku treat kama mkwe?

Ukafutiwa na kodi ukafanikisha ndoto ya binti yake kupata mume huku wewe pengine ndoto yako ilikuwa uoe mke daktari au mwalimu ukapa mke bila kupanga wala kutegemea na kuharibu ndoto zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom