Ikitokea wewe na mke, mume au mchumba wako mmekwaruzana kidogo alafu kwa hasira akakutamkia kuwa kama wewe huoni umuhimu wake wapo wanaume au wanawake wanaoona umuhimu wake
Je hesabu za haraka...
1)WANAAMINI KABILA LAO NDIO BORA KULIKO YOTE
Wanaamini kabila lao ni bora kuliko yote na ni lazima kila Mtanzania ajue kabila hilo na kama kuna mtu ambaye halijui basi mtu huyo ni...
Hey people,
Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada...
Wasalaam tena,
1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango...
Pongezi nyingi kwenu...
Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa...
Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu...
Kwanza niwape pole wale wote tuliotaka kuandamana kwani Polisi wa Tanzania wamejaza njia zote tulizotaka kupita. Sio mbaya wakitulia na sisi tunalianzisha.
Nije kwa mada ya leo.Ishu ipo hivi siku...
Habarini,
Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze...
Nimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni...
Habari humu nilimpata mtoto kwenye harus moja nikamdanganya nikaenda naye getto kilichonikuta asubuh. (Haisimami tena) nafkri mmenielewa NISAIDIEN NIFANYEJE
Ndoa zina mambo!
Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda.
Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha...
Naitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
Nilikutana na mke wangu 2018 nilipokuwa kikazi mkoani
Kwa kipindi kile alikuwa na miaka 18, kipindi hicho nina 25, bado alikuwa mdogo hana hata simu, mimi ndie nilimnunulia
meseji anaweza kutuma...
Ameenda Kwao Kujifungua Namuambiaje Nimeoa Mwanamke Mwingine?
Mimi ni Kijana wa miaka 31, nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu...
Hello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na...
Mapenzi ni tofauti ni fikra za wengi. Mapenzi yanabeba mfumo mkubwa wa maisha ya binadamu. Mapenzi ni chanzo cha furaha,faraja na matumaini iwapo yatatumika vyema. Lakini pia,mapenzi takitumika...
“Nilipopata dola milioni moja kwa mara ya kwanza kupitia muziki wangu nilikuwa na furaha sana na nikasema acha niitumie haraka. Kitu cha kwanza nikanunua studio kwa ajili ya kurekodi ngoma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.