Ushauri kwa kijana anayeishi kwao hataki kujitegemea

tian

JF-Expert Member
Jul 27, 2007
1,769
528
Kijana wa kiume ana kazi nzuri lakini bado anaishi kwa wazazi,sisi marafiki zake tukimshauri aondoke akajitegemee apambane na changamoto za maisha haonekani kama anatusikiliza tunayo mweleza.

Wewe kama ni rafiki yako ungemshauri vipi.
 
Hahahaha!

Kweli Dunia ina visa. Sasa the guy is staying at home, kwani siku akijisikia kutoka home na kwenda kuishi pekee si atazikuta hizo changamoto? Kwani kuna formula kwamba ukifikia umri fulani utoke nyumbani?

Kwanza zamani watu waliishi extended, no walking away from home. Kwa sasa everybody does whatever the hell they want. What the hell is wrong with u?
 
We popo mind your own business....maisha ya mtu mwingine yanakuwasha kivipi?

27yrs Anakaa Na Wazazi Wako,Unapokea Mshahara Mzuri,Hudhani Kama Unazidi Kuwa Mzigo Kwa Familia??

Kumshauri mtu haimaanishi you are venturing in their business,be optimistic
 
27yrs Anakaa Na Wazazi Wako,Unapokea Mshahara Mzuri,Hudhani Kama Unazidi Kuwa Mzigo Kwa Familia??

Kumshauri mtu haimaanishi you are venturing in their business,be optimistic

Wazaz Wake Wamekwambia Wamemchoka? Acha Kihelehele, Tengeneza Ya Kwako Ndugu
 
tian

Anazidi kuwa mzigo kivipi? Na kama yeye ndo ana supporf familia bado utamuita mzigo? Acha kuwa narrow minded wewe umekariri kila mtu anayekaa nyumbani ni mzigo?
 
Last edited by a moderator:
Rayd

Kama Umepevuka Kiakili Huwezi Kusubiri Hadi Wazazi Wakwambie,Unajiongeza Mwenyewe Unajiondokea Taratibuu,
Kuku Mwenyewe Anaachwa Akajitafutie Maisha Iweje Jitu Zima Na Midevu Yake Linakomalia Kwa Wazazi
Ndo Mnakuja Kuwa Kina Mario Na Lazy Bills,
 
Last edited by a moderator:
DuppyConqueror

There's No Way Wewe Ndo Unasupport Familia Huo Ni Uoga Wa Maisha Ya Kujitegemea,in the name of kusupport family.Kubali Kwamba Umeshafikia Umri Fulani Mambo Ya Kupishana Na Wazazi Koridoni Yameshapitwa Na Wakati,Acha Kuwa Wa KIUME,Maana MWANAUME Anayejitambua Huwezi Muona Anabanana Na Wazazi Ambao Wameshamuwezesha Kimaisha
 
Last edited by a moderator:
Jinsi nilivyokusoma wewe una yako, inaonekana unataka uwe unaenda kushinda kwake na kumnyonya vitu vyake, mwache kila jambo na wakati wake, washauri wadogo zako kwanza na kaka zako kwanza.
 
Inawezekana wazaz wake hawataki mtoto wao akae mbali nao kama asivyotaka babake mbwana samata
 
Sioni ulazima wa kuondoka nyumbani kama sehemu ya kukaa ipo...na wazazi wako wanahitaji msaada wako wa karibu nikiwa na maana wanakutegemea kwa kila kitu...kwani kukaa mbali sana kunawafanya wazazi wako wawe wanyonge....ili hali wazazi wako wanahitaji faraja kutoka kwako....
 
Imeandikwa:..........

Kijana wa kiume (The same to wa kike) atawaacha wazazi wake na kuungana na mwandani wake na kuanza maisha upya..

If the the guy is single; why should he be disturbed? SUBIRINI WALAU AOE!!!!!

ALIPOKUWA HANA KAZI MLIMZONGA.......

SASA KAPATA KAZI, MNAMZONGA.....

AKIHAMIA KUTIMIZA WISHES ZENU, MTAULIZA "WAPI SHEMEJI"?


Aisee kila mtu aishe anavyoona ni bora na nafuu kwake kuishi, cha msingi tu sheria zisivunjwe....
 
Kuna familia hazipendi mtoto aondoke nyumbani. Tunaona mfano familia za kiarabu au nafikiri wahindi utakuta kijana anaoa akiwa nyumbani kwao. Sasa kama umemshauri na haoni huo umaana wa huo ushauri muache kwani kuna wazazi wamewaandalia watoto wao vitu vingi ikiwemo nyumba.
 
Aendelee tu kuishi kwani tatizo nini hapo au we unataka akapange alipe kodi ya nyumba kama wewe
 
tian
Kuna mengi ya kuzingatia kabla ya kutoa judgement yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom