Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna binti nlimpata miaka 2 imepita nikiwa masomoni huko moshi ila yeye ni mtu wa mafinga iringa. Nlimtokea na kumtongoza akawa amenikubalia na tukaanza mahusiano rasmi. Baada ya kumaliza masomo...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu, Hawa watu huwa ni wabaguzi wa rangi, ila si wote!Two weeks ago kuna binti mmoja alinibagua rangi kwa kuniita Negro na sababu ya kuniita ivyo ni tulipishana kauli kidogo....Sasa Baada ya...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Mwanamke ni kama bunda jipya la karata. Pindi linapokuwa jipya linakuwa dogo lenye mkusanyiko wa kadi nyingi zilizonyooka vizuri, safi zenye kuvutia zinapendeza macho na kuvutia wachezaji kiasi...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Nimeamua kulileta hili si kwa lengo baya naombeni ushauri wenu maana nasikia kuumwa kichwa nimechanganyikiwa sana. Naishi na mwanaume na tuna mtoto mmoja pia ninaujauzito...
11 Reactions
147 Replies
18K Views
Umri wangu ni 24 years niko dar natafuta rafiki wa kike. Awe open minded umri 20 hadi 35 niko dar nicheki PM or hapa for contacts tonialki4@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Kama kichwa cha thread hapo naomba muwe makini na ID zinazoandika mambo yenye utata hili linawahusu wanaume sana.. Nimefanya research ndogo nimegundua kuna wanawake wanatumia ID za kiume kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama mjuavyo leo ni Boxing Day, nipo hapa the great park tabata, kwa mdada aliyepo karibu usisite kusogea hapa nilipo tufurahi pamoja ili tufungue zawadi na kuzitumia pamoja!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikawa asubuhi, Ikiwa jion siku ya pili boxing day ndo inakata hivyo... Wakuu shimboniiii..... Ngoja ni-share hii tabia ya wife, japo unyago unanizuia nisitoe siri za ndani. Kwa muda sasa...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari za jioni ndugu zangu. Rejea Uzi wangu wa Juzi kuhusu FGM. Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli. I just wanted to write,to let u know how I...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
[emoji121] sasa nasema hivi, Katika ndoa bora na zenye tija kwangu, Ni ndoa ya mkeka. Hii ndoa naitafuta sana, Kwani ni nzuri sana kiuchumi, Na huokoa muda. Hakuna kutozana mahari nyingi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hapo vip!! Dah!! Wadau hili swala la kuchunguzana kwa muda mrefu katika kipindi cha uchumba mimi naona sio. Kwasababu nakumbuka nikiwa chuo kunawashkaji walikuwa wanaishi na mademu ghetto kwa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimejaribu mara tatu nimeishia kudaganywa , baada ya kugundua indadi inaongezeka kadri siku zinavyoenda. Hii tabia inafaida? Ikiwa mmeshaamua kua pamoja?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wanajamii forum kila nikiwaza sipati jibu mbona neno hili Vibamia au kibamia limekuwa maarufu zaid zama hizi??? Hii inaashiria nini katika jamii ya kileo??? Sikuwahi kusikia mwanamke...
11 Reactions
192 Replies
24K Views
Habari za mapumziko ya Christmas, mara nyingi nikikaa na marafiki wa kike hata kiume katika story za mahusiano wengi wanalalamika kuachwa, kuachwa, kuachwa, wa kuacha ni wachache sana..sasa kati...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Mke wangu mpendwa kajifungua hivi punde ndugu zangu, na raha iliyoje kaniletea kidume kama maombi yangu nilivyoomba na nilikuwa na sababu kuu mbili ya kuomba hivyo, (i) 2013/10, mpendwa huyu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Unaweza kuta mkaka amemfatilia mwanamke mpaka mwaka mzima au hata siku moja. Baadaye bidada anaamua kwa heshima kubwa anaamua kukutunuku Tamu yake akijua utapenda zaidi na mtafika sehem.na anakupa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kitaalamu inaonyesha kwenye tendo la ndoa mwanamke hupata raha mara tatu juu ya mwanaume Sasa hoja yangu ni kwa nini wanawake mnapenda kubembelezwa kwenye ulaji wenu wenyewe halafu mnataka na...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Most of guys like @Joverest balibabambonahi BAK venchwa and my sister@Evelyn Salt along side miss chagga , Miss Natafuta knows about different stories concerned with ladiesa vieginity , am i...
6 Reactions
90 Replies
12K Views
Natafuta mke awe na umri WA miaka kuanzia 18 mpka 25 naishi arusha
0 Reactions
7 Replies
908 Views
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa. Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala...
20 Reactions
302 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…