Habari za mda huu wana jamii forums namatumaini ni wazima wa afya
Kama kichwa cha habari kinavyosema nina mpenzi wangu ambaye tupo kwenye mahusiano yapata mwaka wa pili huu.. Kinachoniuma ni...
Dear members!
Namtafuta huyu mwanamke mwenye jina hilo.
Alikuwa mpenzi wangu japo sikuwahi ku sex naye japo Romance tu. Kwao ni Moshi, Manushi Sinde au Manushi ndoo.
Ilikuwa mwaka 1998/99...
Honey moon ya Mashaka(si jina lake halisi) imeharibiwa kwa kitu kidogo sana na kufanya ndoa nzima kuwa katika mashaka makubwa ukiangalia mustakabali wake. Siku iliyokuwa ya furaha,nderemo,hoi hoi...
Kama utangulizi hapo wa kichwa cha maada.
Hivi ni kwel dunia ya sasa kuna wanawake wanakubali kuolewa kuwa mke mwenza! kwa moyo kabisa anamkubalia mume wake aoe mke mwingne wawe wawili.? Yaani...
Wanawake wote akiwemo na mama yangu walioweza kudumu kwenye ndoa zao walifanyaje?
Je wao walikuwa hawakosewi kama wanavyokosewa wanawake wa leo? Na kama walikuwa wanakosewa iweje mpaka leo wapo...
habari zenu wanahotpot?
kama kichwa cha uzi kilivojieleza hapo juu.
Aisee nyie wa kike muwe mnaosha izo nyeti zenu kabla ya kukutana na sisi vidume vyenu. Unakuta jamaa wa watu umejipanga kugegeda...
Jana kuna uzi uliingia hapa ukiwa na maelezo tata ambapo mleta mada aliomba ushauri namna ya kumwepuka binti yake aliyetaka afanye nae mapenzi kabla ya mwanaume mwingine.
Kulikuwa na wachangiaji...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu wana JF hili limeshamiri kila sehemu haswa mitandaoni FACEBOOK,WHATSSAP,na JF , Asee imekuwa sehemu ya kutongoza tongoza na watu wanakuwa na mahusiano...
Ni kwanini
Jogoo akishamaliza tu kumpanda Kuku Jike yule Kuku Jike huchukua dakika 3 hadi 5 kuzunguka zunguka lile eneo huku akipepesuka halafu mabawa yake yote huwa ni mazito kurudi katika hali...
Habari zenu watanzania wenzangu naomba kuuliza kwa wale wanaopenda movie za kikorea nataka kudownload kupitia simu series za kikorea.anayejua website gani zinapatikana kupitia simu ashushe comment...
Assalam alykum .
Hama baada ya salamu naomba nitililike moja kwa moja........
Mimi nikija mwenye umri wa mika 24 ....
Elimu yangu (niyachuo) Diploma ya ualimu wa Secondary lakin niliupiga...
Kila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?
Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?
Kero, kero kero mtindo mmoja...
Habar wanajamvi.
Kuna Rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sina chakumwambia nikaona nishare na nyinyi.
Rafik yangu anamchumba wake na wanamiaka zaid ya mitano katk uchumba lakin miezi mitatu...
Kulingana na data nilizonazo, na ambazo hazijathibitishwa ni kwamba wanaume wengi hawatimizi majukumu yao.
Ufuatao ni ushahidi:
1.Wanawake wengi hawakubali kuolewa kama hawana kazi au kipato...
Hi.
Wakuu Leo nimekumbuka hilisekek sekeseke la popobawa na enzi za majini kwato wale walivyomwagikaga jiji la Dar lilivyotikisika.
Daaah aiiiseh haya matukio mawili nikikumbukaga huwa naishia...
Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km...
Maranyingi mmekuwa mkiwashutumu wanawake kuwa ni wachafuu lakini kuna wanaume ni wachafu sijapata kuona mwingine unakutana nae barabarani tuu harufu anayotoa utafikiri beberuu la mbuzii...
Hallow collaegues,Greetings
My profile;
Age: 31 yrs old
Education: BSc,MSc
Employment: Ministry of Health,
170cm Tall, weight 55kg,
.
Religion: Christian
Looking a matured lady with...
Malove daaaaachiii wana,
Yaani mambo vipi wana.
Kama kawaida yangu,
Baada ya kuhaso sana katika mishemishe zangu za kuuza maji kwenye mkokoteni huku pande za tegeta_tanki bovu njia ya kuelekea...