Zilipendwaa

Zilipendwaa

Mima white cute

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
740
Reaction score
1,305
Hi.
Wakuu Leo nimekumbuka hilisekek sekeseke la popobawa na enzi za majini kwato wale walivyomwagikaga jiji la Dar lilivyotikisika.

Daaah aiiiseh haya matukio mawili nikikumbukaga huwa naishia kucheka tu.Kipindi hiki cha popobawa tulijikuta tunalala nje tunatandika mikeka tunalala kwa kupindukiana migongo tu.hakuna anayeruhusu wezele lake lilale kihasara hasara.unataka ulinzi wa kutosha ndio angalau unaweza pata usingizi.yule kiumbe alikiwa balaaa.

Hakuna siku nilichanganyikiwa pale watu waliopandisha wanakwambiaa popo bawaaa uyooo alafu ukiangalia umuoniiii duuuh ile siku nilimaliza duaaa zote maneno yote ya kumtaja mungu nilisema ..Hakika hii Dunia Ina mambo.

Mood yangu tu ya Leo nimeamka hivyo.Najikuta nakukumbuka matukio yaliyopita nikaona nije kushea na nyie..nije kujiridhisha hapa kwa kujiandikisha tu.

Muwe na asubuhi tulivu.
 
Mmmh kwan hadi kwa wadada alikua anataka wenzele?
Kam ni ivo bhc mshikj Wang popo bawa hajui utam WA pale mbele kweny kinena
 
Mmmh kwan hadi kwa wadada alikua anataka wenzele?
Kam ni ivo bhc mshikj Wang popo bawa hajui utam WA pale mbele kweny kinena
Alikuwa unataka sana kwa wababa na wanaume...ila na kina mama ilibidi wachukue tu tahadhari maana simba akikosa nyama hata mfupa ana beba kwa hiyo wasi wasi ulikuwa ndio akili lakini wanaume ndio aliwataka hasaaa
 
Bhc bora nimekuja daslam ukubwan kwan inawezekan ningekua cna marinda kam ningewah kuja
Ha ha ha ha haaaaa shukuru mungu kulikuwa na hela za hatariiii....hiyo ilikuwa inaitwa usije mjini
 
Back
Top Bottom