Mahusiano ya mtandaoni.

Mahusiano ya mtandaoni.

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,936
Reaction score
3,054
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndugu wana JF hili limeshamiri kila sehemu haswa mitandaoni FACEBOOK,WHATSSAP,na JF , Asee imekuwa sehemu ya kutongoza tongoza na watu wanakuwa na mahusiano lakini MAHUSIANO haya hayadumu hata kidogo hivi sababu ni nini ?
_Hutongozana mtandaoni na kupeana talaka hapa hapa mtandaoni bila hata ya kuonana ..Wengi imewakuta hii isitoshe wale wenye akili fupi ashaanza matunzo kwa mtu ambaye hamjui vzr ila kwa maneno tu kaamini.POLENI SANA.

_Wengine hukutana na kutumiana mwisho wa siku huachana haswa WANAUME akikuta demu wa kawaida kisura akishatumia hupotezea kabisa [emoji13] [emoji13] hii hutokana na 360 CAMERA mwisho wa siku anakutana na colourless [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Inauma.

_Kupata UKIMWI ni vyepesi sana maana mtu humjui anakuvua au kumvulia mwisho wa siku anakuachia magonjwa na hii ni shida ya mtandaoni so sana lkn tahadhari muhimu .

_Asilimia kubwa ya wanawake wa mtandaoni anatamani umuoe yaani hata miezi mitatu bado wala kumfunua bado ,wanaume kujitambua muhimu huyo demu yawezekana alitoa mimba sana au kuna kitu kinamsibu ..

ORODHESHENI ZILIZOBAKI

SITAKI POVU .
 
Akishakuona ww ndo grisiii unataka afanyee nini

Na wewe acha kulialiaa watu hizo fursa wanazikosa
[emoji23] Awe kaka dunia imeisha asee mimi ninekutana nalo yamenishinda na nashindwa kumueleza tuachane
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji23] [emoji23] amini hayadumu kbs siku mkikutana ukawa wa kawaida sana basi ndo mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanichekeshaa sanaa
 
Back
Top Bottom