ANDREW JOSEPH
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 421
- 405
Wanawake wote akiwemo na mama yangu walioweza kudumu kwenye ndoa zao walifanyaje?
Je wao walikuwa hawakosewi kama wanavyokosewa wanawake wa leo? Na kama walikuwa wanakosewa iweje mpaka leo wapo kwenye ndoa zao? Jibu hili hapa
Baada ya kujaribu kudadisi sana nilikuja kugundua kitu kimoja kuwa
Hakuna mwanaume mjeuri kwa mwanamke mnyenyekevu na hakuna mwanaume mpole kwa mwanamke mjeuri
Hivyo wewe mwanamke kabla hujaanza kulaumu watu kuhusika na migongano kwenye ndoa yako jichunguze wewe kwanza unaitendea nini ndoa yako mpaka uamini kuwa wewe sio mhusika wa migongano ndani ya nyumba yako
Mungu alimfanya mwanamke kuwa kiumbe kizuri kinachovutia kwa mumewe kupitia tabasamu lako mama kutaifanya familia kuwa na tabasamu japo waabuduo shetani wanajaribu kubadilisha malengo
Sasa wewe endelea na hiyo Beijing yako utaenenea chale mwili mzima na kwenye ndoa utatoka
Haya ni mawazo yangu sio ya watu wote[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]