Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Malove daaaaachiii wana,
Yaani mambo vipi wana.
Kama kawaida yangu,
Baada ya kuhaso sana katika mishemishe zangu za kuuza maji kwenye mkokoteni huku pande za tegeta_tanki bovu njia ya kuelekea goba,
Nikaadvansi na kupanga chumba cha peke yangu na kuhama kile nilichokuwa nashea na washkaji zangu wengine wanne.
Kilichonisukuma kupanga chumba kingine ingawa hakina umeme na kina dirisha dogo kama la chooni
Ni baada ya siku 1 dada mmoja daktari wa magonjwa ya wanawake "Gynecologist" ambaye ni jirani yetu
Niliyekuwa nampelekea maji kila siku kuniambia;
" #seneta_wa_mtwiz,
Unastrago sana kutafuta hela kwa njia za halali,
Nakushauri tafuta mwenzi anayekuvutia uoe,
Itakuhamasisha kufaiti zaidi."
Nikamjibu,
"Ni kweli ila kupata mke mrembo kwa mfano mwenye taaluma kubwa kama yako
Sio rahisi kwa mtu kama mimi".
Huku akirembua na kulegeza macho,
Akasema;
" noooo seneta,
Wasiwasi wako tu,
Profession doesn't matter in love affairs.
We' ni mwanaume- if you adore a single gal of my kind just try your luck."
Kama masihara,
Nikamwambia;
"Tatizo watu muhimu kama nyie hampati muda wa kututembelea na kutushauri vijana wenzenu vitu vya maendeleo."
Nikashangaa pale aliposema;
"I wish I could pay you a visit seneta,
Ila unaishi ghetto na wenzio wengi.
Miye nafasi yangu ni usiku kuanzia saa mbili.
Siku ukihama chumba cha kushea-
I will be visiting you until you get tired."
--------------
Kiukweli ile ilimehamasisha sana kutafuta chumba cha kwangu,
Na nimeshahamia tangu juzi.
Leo huyu dokta kasema anakuja kunitembelea,
Na mapumziko yake ya wikendi yote anayamalizia kwangu,
Tatizo humu chumbani kwangu kuna godoro langu la futi 2½×6, kibatari na pasi ya mkaa.
Najisikia aibu kichizi kumkaribisha huyu dokta mrembo, mweupe, aliyejazia kama waigizaji wa tamthiliya ya siri za familiya.
Wakuu nimruhusu aje
Au nimwambie nimesafiri ghafla nimeenda kusalimia wazazi mtwara?