Naomba kusaidiwa

Naomba kusaidiwa

gyeetitus

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
86
Reaction score
39
Habari zenu watanzania wenzangu naomba kuuliza kwa wale wanaopenda movie za kikorea nataka kudownload kupitia simu series za kikorea.anayejua website gani zinapatikana kupitia simu ashushe comment zake basi maana nyingi zilizoandikwa Google hazidownload
 
Download app inaitwa DRAMANIA
 
Kwa maelezo na msaada mzuri zaidi nenda entertainment forum kule kuna Uzi Wa Korean drama.pale juu kwenye sticky threads utapata kila ulitakalo n ulipendalo juu ya Korean drama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom