Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,730
- 8,807
Nasema ni uboya na ni ushamba haswa
Haiwezekani dume zima tena wa kutoka kanda ya ziwa unaenda bar tena bar high classic uko na demu unaagiza soda na demu anaagiza Balimi ndogo ile strong beer( tofautisha Balimi lager zile za dar na Balimi extra lager zile za mwanza)
Huku ni kujiabisha mwanaume utaendaje Bar na mtoto mkali yeye anagida Balimi extra lager strong beer alc 5.6% V/V wewe unakunywa soda ya jero tena mirinda nyeusi
Kama una hii tabia unatuhaibisha wanaume wenzako na bora Ukatubu