Wenye vibamia jamani

Wenye vibamia jamani

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,111
Reaction score
1,494
nimekuwa najiuliza sana kwanini vibamia??? Wapo wanao sema hakuna vibamia isipokuwa maziwa,bahari na marambo yameongezeka hivyo visima na mito vimepungua, sijui ukweli ni upi.

Lakini kuna kasi ya waume wengi kupoteza hamu, now days wanaume wanaweza kukaa 3 weeks bila ku duu na akawa kawaida. Nini kimepoteza huo msukumo??

Nisiandike sana bila, njoo na suluhisho: 1. wafanyeje wapate hamu na mshukumo
2. je vibamia ni ugonjwa au ni swala la ulinganifu kwamba ameingiziwa nani, mwenye bahari au rambo?
naruhusu mjadala sii matusi, ebu kuwa sehemu ya suruhisho, tuwasaidie vijana wanaoteseka.
 
Nyoooo! Uzi bila picha na wewe unataka like?

Kwanza ilibidi uweke picha ya kibamia, kidagaa, kinjiti, kisoseji, chako tuone pa kuanzia.

Note: sijawahi kusikia mwanaume kwenye pesa eti ana kibamia hata kama anacho lazima aongezewe sifa, mfano "utasikia hata kama ana kibamia ila anajua kukitumia"
 
Nimependa uandishi wako. Ngoja waje wakushauri ili uweze kuondokana na hilo tatizo
 
d40b05641f0c90e106bad5033b655b3a.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Solution ianze kwanza kwa hizo bahari, maziwa na rambo,, then vibamia
 
tafuta tu hela mzee. hayo mengine ni ziada tu. wanawake hata ujue mapenzi namna gani kama hauna hela, huwa wanaona h adi aibu kukutambulisha kwa wenzao.
 
Mwanamme kutokuduuu ninaamuzi yako.

Suala la kibamia ,hiii nidhambi mloilea nawacha iwatafune ...unakuta mwaname na elimu yake, unaanza kulia etiii unakibamia.

Shame on you.
 
Nyoooo! Uzi bila picha na wewe unataka like?

Kwanza ilibidi uweke picha ya kibamia, kidagaa, kinjiti, kisoseji, chako tuone pa kuanzia.

Note: sijawahi kusikia mwanaume kwenye pesa eti ana kibamia hata kama anacho lazima aongezewe sifa, mfano "utasikia hata kama ana kibamia ila anajua kukitumia"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna sehemu niliwah kusoma mwandishi anasema "moja kati ya sababu zinazofanya wanaume wakose hamu ya kugegeda ni vile wasichana/wanawake wanajiweka wazi sana maungo yao,namaanisha mavazi ya nusu uchi ndo chanzo coz yanafanya wanaume waone kua mapaja na matiti ni vitu vya kawaida sana,so ht akipata mpenzi haoni kigeni kwake mana anakutana navyo barabaran,kazin,daladalani etc"
 
Hii kitu mi mwenyewe najiuliza maswali bila majibu.

Kuna brother wetu mmoja, miaka ya nyuma kabisa yaani mwanzoni mwa 90 alikuwa ana sifa ya kukimbiwa na wanawake!! Kwa madai alikuwa na maumbile ya kiume makubwa!

Nakumbuka tukio moja wapo kuna mwanamke alitoka nduki chumbani ghorofani kwenye hotel ya New Castle pale Moshi mjini na nguo mkononi. Alikuja kuvalia nguo zake ground mbele ya bar na reception watu wanamuona then mbio alizotoka nazo hapo si za nchi hii!!

Mpaka sisi tuliokuwa wadogo tukajua kuwa brother kasheheni mpaka anakimbiwa. Hakuwa na demu kwa kipindi kile pamoja na kuwa alikuwa ni mtu na mpunga wake wa kutosha na alikuwa ni miongoni mwa wafanyabiashara wakubwa kwa wakati huo.

Brother yule yule aliyekiwa anakimbiwa hovyo na wanawake mpaka watoto tukajua. Sasa hivi wanamgombania vibaya sana japo umri umeenda kidogo.

Kwa kuwa nasi tumeshakuwa watu wazima tunakaa bar tunakunywa na stories mbili tatu na kuna siku tulimuuliza brother vipi unakumbuka tukio flani (la kukimbiwa chumbani na mwanamke) anacheka sana.

Then tunamuuliza miaka hii vipi mbona hatukusikii ukiwakimbiza tena, ye alijibu kwa kusema nashangaa sana wakati ule hakukuwa na mwanamke aliyeweza kunimudu hata robo tatu uume lakini sasa hivi uume ni ule ule nachukua kabinti kadogo najua haka leo naenda kutia aibu lakini kanaumeza wote tena comfotably na maraha yote!!

Serious, kutokana na story hii kuna kitu kimetokea katika haya maumbile ya wanawake. Nahisi mabadiliko ya kibaiolojia kwamba kama "appendix" (sina hakika na spelking ila ni ya tumbo) zamani ilikuwa kubwa kama tumbo lakini baada ya kugundulika moto ikakosa matumizi ikabadilika na kuwa ndogo kama kidole basi nahisi maumbile kike ya wanawake yamepata matumizi sana sasa yameongezeka ukubwa!! Teh teh teh
 
Hii ina chembe fulani ya ukweli kwasababu wanaume hupenda kwa kuona. Ni kama vile chakula kitamu ni kile unachokula ukiwa na njaa sana.
 
Nimependa ulivyopangilia story yako. Hata mi nashangaa kama ni kweli wanawake wote wana uwezo wa kuhimili mihogo. Au basi ni msemo unepata kiki?
 
nimekuwa najiuliza sana kwanini vibamia??? Wapo wanao sema hakuna vibamia isipokuwa maziwa,bahari na marambo yameongezeka hivyo visima na mito vimepungua, sijui ukweli ni upi.

Lakini kuna kasi ya waume wengi kupoteza hamu, now days wanaume wanaweza kukaa 3 weeks bila ku duu na akawa kawaida. Nini kimepoteza huo msukumo??

Nisiandike sana bila, njoo na suluhisho: 1. wafanyeje wapate hamu na mshukumo
2. je vibamia ni ugonjwa au ni swala la ulinganifu kwamba ameingiziwa nani, mwenye bahari au rambo?
naruhusu mjadala sii matusi, ebu kuwa sehemu ya suruhisho, tuwasaidie vijana wanaoteseka.
Mkurya kwenye ubora wake anataka "suruhisho"...
Duuu mother tongue nouma[emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14]
 
s
Hii kitu mi mwenyewe najiuliza maswali bila majibu.

Kuna brother wetu mmoja, miaka ya nyuma kabisa yaani mwanzoni mwa 90 alikuwa ana sifa ya kukimbiwa na wanawake!! Kwa madai alikuwa na maumbile ya kiume makubwa!

Nakumbuka tukio moja wapo kuna mwanamke alitoka nduki chumbani ghorofani kwenye hotel ya New Castle pale Moshi mjini na nguo mkononi. Alikuja kuvalia nguo zake ground mbele ya bar na reception watu wanamuona then mbio alizotoka nazo hapo si za nchi hii!!

Mpaka sisi tuliokuwa wadogo tukajua kuwa brother kasheheni mpaka anakimbiwa. Hakuwa na demu kwa kipindi kile pamoja na kuwa alikuwa ni mtu na mpunga wake wa kutosha na alikuwa ni miongoni mwa wafanyabiashara wakubwa kwa wakati huo.

Brother yule yule aliyekiwa anakimbiwa hovyo na wanawake mpaka watoto tukajua. Sasa hivi wanamgombania vibaya sana japo umri umeenda kidogo.

Kwa kuwa nasi tumeshakuwa watu wazima tunakaa bar tunakunywa na stories mbili tatu na kuna siku tulimuuliza brother vipi unakumbuka tukio flani (la kukimbiwa chumbani na mwanamke) anacheka sana.

Then tunamuuliza miaka hii vipi mbona hatukusikii ukiwakimbiza tena, ye alijibu kwa kusema nashangaa sana wakati ule hakukuwa na mwanamke aliyeweza kunimudu hata robo tatu uume lakini sasa hivi uume ni ule ule nachukua kabinti kadogo najua haka leo naenda kutia aibu lakini kanaumeza wote tena comfotably na maraha yote!!

Serious, kutokana na story hii kuna kitu kimetokea katika haya maumbile ya wanawake. Nahisi mabadiliko ya kibaiolojia kwamba kama "appendix" (sina hakika na spelking ila ni ya tumbo) zamani ilikuwa kubwa kama tumbo lakini baada ya kugundulika moto ikakosa matumizi ikabadilika na kuwa ndogo kama kidole basi nahisi maumbile kike ya wanawake yamepata matumizi sana sasa yameongezeka ukubwa!! Teh teh teh
akina mandingo na ponography zao ndio wameleta hii revolution
 
Teh teh teeeeeh!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom