Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari wanajamii forum
Zimebakia siku chache kuumaliza mwaka 2017 na tumeshuhudia kwa mwaka huu 2017 wanawake wameshambuliwa sana kwenye hili jukwaa kutokana na mambo kadhaa ambayo yanaonekana kama hayajakaa sawa lakini wakati tunaelekea mwaka 2018 nawashauri wanawake wafuate haya yatawasaidia katika maisha yao na yatapunguza single mamaz mtaani,pamoja hiyo itakuwa chance kwao kupata wanaume wa kuishi nao milele maana sisi wanaume ni selective sana hatutakagi mizinguo kutoka kwa hawa wanawake.Mwanamke unapoingia 2018 acha vitu vifuatavyo
1.Acha kuigiza maisha yako kutaka kuishi kama wakina marichui,kina sepenga na wengine wanaoigiza
2.Wanawake acheni ubahili hivi hizo pesa zenu mnapeleka wapi nyie viumbe 2018 punguzeni ubahili
3.Acheni kufuata mikumbo ya mashoga zenu akikushauri kitu na wewe macho kama fisi maji unakubali tu bila kupima magnitude ya ushauri wake ache hizo
4.Acheni kujifanya mnapenda pesa mtadhani mmezaliwa kwenye koo za Rockfeller na kujidai mnapenda wanaume wenye pesa wakati nyie mnaishi na bibi zenu mnanusha shida
5.Acheni kuzurula mitaani utakuta asubuhi binti amependeza mfatilie anakwenda wapi ukute anazurula mjini maana hana cha kufanya,jifunze hata kusuka,cherehani acha usistatuu wako wa kichoko
6.Acheni kubana m.a.t.a.k.o na kuvaa kuzaa sponge ili muonekane mna msambwanda mkubwa maana mnajiongezea tu joto huko kunako.
7.Acheni kuachia matiti yenu nje kila mtu anaone maana waowaje wote tunataka mwanamke anayejisitiri
8.Punguze kuchaga sana wanaume ni walewale ukichambua saaaana kila mwanaume utakuta ana kasoro zake
Haya wanaume wenzangu ongezeeni mambo mengine hawa viumbe waachane nayo ili wakiingia 2018 wawe masuper women
Ahsanteni ujumbe nilioambiwa na babu niwafikishie dio huo hapo ukija na povcu lako beseni ninalo kubwa tutalihifadhi humo