Mbona Sikomiii Kasinde mie....!!???

Mbona Sikomiii Kasinde mie....!!???

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Mambo yaameanza upyaaaa. .......

Visa viroja na vijaruba vya Kasie Mahaba.

Diamond kanisema mie mia ya mia laah naweza sema huu wimbo kanitungia Kasinde mie..... nachojishangaa mbona sikomiii haya mapenzi yana nini? Mbona kuniandama mimi tuu.... au nibatizwe upya!!??



Nilijikuta nimeivuruga password ya ID ya Kasinde kwa sababu ya mahaba haya haya. .....

mwisho wa siku nikatamani sana kuirudia ID yangu..... wapi hadi kesho sijaweza I kumbuka. ....... shkamoo mahaba. Ona sasa mahaba yananipotezea vitu vingi tuu ikiwemo ID yangu kipenzi ya KASINDE ila sikomiii nnini hiki Kasie? ??!!!

Tangu niusikilize huu wimbo najiuliza.... mbona sikomiii licha visa na vijaruba vya mahaba nnavyokutana navyo.

Mara kibao nshajipiga masingi na vibao vya mashavu na kujiambia, Kasie achana na mahaba yanakuumiza, wapi kesho najikuta nna mwingineee. Sisemi kwa sifa bali kiulizo bin mshangao na masikitiko juu.

Mbaya zaidi wao ndo wanaonifata (Kasie be my pilllow and the like..) na hata nikatae vipi wananibembeleza tuu mwisho wa siku aidha nafumania ama nafumaniwa mie.....
Kasie mbona sikomiii. ... sikomiii na siwezi kuachana na mahaba hayaa.
Ngoja nijaribu kuchukua likizo nione kama ntafuzu.

NB: (........................................)

Kama kawaida, wataotoka kapa tafadhali chukua notsi kwa jirani.

Kasie Mahabat Matata.....

Always Smiling.
 
Dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
[emoji30][emoji30][emoji30]

Mbona wasikitika?... mie hata sielewi kwanini sikomiii?

Au na wewe una shida kama yangu?

Ever Smiling Kasie.
 
Aisee! Kumbe ata wanawake kwenye hlo mpo? Ata msikome nyie komoeni!
 
Shkamo
Heri ya mwaka mpya

Marahaba mrembo, ukiona bibi yako ananyolewa nawe tia maji isije baada ya miaka 10 ukaanza na wewe mbona hukomii ........

Shukria, heri kwako pia ya mwaka mpya napambana kuanzia sasa nikome huu moyo hauna maana kabisa kika nikiusikiliza najikuta mbona sikomiii. .. sikomiii kwenye mahaba haya.

Ever Smiling Kasie.
 
Aisee! Kumbe ata wanawake kwenye hlo mpo? Ata msikome nyie komoeni!

Mahaba huwa yako pande zote, akitenda mwanamke basi katendwa mwanaume na akitenda mwanaume basi katendwa mwanamke.

Uzoba wangu sina hulka ya kukomoa matokeo yake najikuta tuu niko mikononi kwa mwingineee sijui kwanini sikomiii. ..... kwenye mahaba haya.

Ever Smiling Kasie.
 
Marahaba mrembo, ukiona bibi yako ananyolewa nawe tia maji isije baada ya miaka 10 ukaanza na wewe mbona hukomii ........

Shukria, heri kwako pia ya mwaka mpya napambana kuanzia sasa nikome huu moyo hauna maana kabisa kika nikiusikiliza najikuta mbona sikomiii. .. sikomiii kwenye mahaba haya.

Ever Smiling Kasie.
Nitazilowesha kabisaa bibi angu sio tu kuzitia maji!!!
 
Nitazilowesha kabisaa bibi angu sio tu kuzitia maji!!!

Haya mwaya nikutakie heri zote acha mia nigangamale wakati nasubiria pension yangu ya early retirement itoke nione labda ntakoma. Maana sipati jibu kwanini sikomiii Kasie mie..... kwenye mahaba haya.

Ever Smiling Kasie.
 
Mpaka ukutane nayo inayogusa maini bebe komaaa!!

Hahahahahahaa looh kweli wewe ndo umenichoka kabisaaa. ... na ugagula huu maini yakifikiwa si itakuwa nimefanyiwa operation bila kupasuliwa hahahahahahahhaaa.

Ndo naanza kukoma sasa nisijekutana na hiyo ya kwwnye maini ikawa mbaya looh.

Kasie komaaaa weeeh pamoja na kujinasa vibao waaapi sikomiii...

Ever Smiling Kasie.
 
Mahaba huwa yako pande zote, akitenda mwanamke basi katendwa mwanaume na akitenda mwanaume basi katendwa mwanamke.

Uzoba wangu sina hulka ya kukomoa matokeo yake najikuta tuu niko mikononi kwa mwingineee sijui kwanini sikomiii. ..... kwenye mahaba haya.

Ever Smiling Kasie.
Aisee haya mahaba niue kumbe yanauaga kweli..ngoja niusikilizike huu wimbo labda na mm ntajikuta sikomi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom