Kweli hadi kwa housegal jamani

MUTTAZ

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
296
237
Kuna uzi nimeuona ila ghafla siuoni!

Kuna jamaa alikuwa anaomba ushauri anataka kugegeda house gal wake baada ya mkewe kusafiri na kumuacha naye! Nihitaji kumpa ushauri huu hapa chini ila nikaona siwezi komenti chochote kwenye uzi na baadaye uzi siuoni tena.

Kati ya vyote, kutia house gal siwezi nasijawahifikiria! Nimekaa nao kama saba hivi na wengine wazuri kweli ila huwa nahitaji wife awafanye kama wanetu au ndugu zetu wa dam kuanzia mavazi, malazi na misosi tule pamoja hata kama hakuzoea, na ninashukuru mambo si mabaya wife anawamudu na wanaendana naye. Na nikiona dosari huwa nawasiliana na wife then yeye anamaliza nao.

Ila kula house gal kiongozi acha tafadhali. Yaani kweli ukose nyapu huko nje hadi uje ule ya house gal wako kweli jamani, kwanza unakuwa unamdhalilisha mkeo sana tena sana pili nihatari kwa familia yako yote (hatari kwako kwa watoto wako na kwa mkeo pia) anything bad can happen, hujawahi kufikiria hata familia yako kudhuriwa au unatafuta umaarufu!

Kwa yeyote mtaka papuchi ya housegal wake please ajiangalie kwanza na afikirie kabla ya kutenda.

MUTTAZ.
 
Hakuna Biblia iliyoruhusu hiki ingekuwa hivyo hata nisingeweka uzi huu hapa kwani ninaiheshimu biblia sana![/QUOTEsijui ni ib
Hakuna Biblia iliyoruhusu hiki ingekuwa hivyo hata nisingeweka uzi huu hapa kwani ninaiheshimu biblia sana!
ww huwa unasoma maandiko yapi,hao baba zenu wa imani kwenye biblia si walikuwa wanalala na wajakazi wao haikuwa dhambi kwa nini kwetu iwe dhambi? au kuna utofauti kati ya housegirl na kijakazi?
 
wanaume sijui mnataka nini .kuna jamaa alitembea na paka wao .yaani just imagine mtu anamtamani paka wake hadi anafikiria kumuingilia sembuse msichana wa kazi. Mungu aingilie kati huko chini
Aiseee
fbe3d1b7f01a8c83504a8f3fbdf0fb2f.jpg
Lipaka kama hilo la kijani mtu analiingilia kimapenzi?

Au Paka yupi unasema
 
Yaani mm nina House girl mzuriiii,muiraq toto jeupeeeee,hips hiyaaaa!! Na anapiga kazi balaa,adabu za kutosha na upendo wa hali ya juu!Sasa huyo anaetaka kumgegeda amgegede hakuna namna! Siwezi kuacha kuwaajiri watoto kisa mwanaume niliyenae hizi ni akili chafu zao wakiamua kunisaliti! Yaani sihofiagi hili
 
Kumbuka pia maandiko yanasema, Kipindi hicho Mungu alikuwa anajifanya kama haoni!
 
Kuna uzi nimeuona ila ghafla siuoni!

Kuna jamaa alikuwa anaomba ushauri anataka kugegeda house gal wake baada ya mkewe kusafiri na kumuacha naye! Nihitaji kumpa ushauri huu hapa chini ila nikaona siwezi komenti chochote kwenye uzi na baadaye uzi siuoni tena.

Kati ya vyote, kutia house gal siwezi nasijawahifikiria! Nimekaa nao kama saba hivi na wengine wazuri kweli ila huwa nahitaji wife awafanye kama wanetu au ndugu zetu wa dam kuanzia mavazi, malazi na misosi tule pamoja hata kama hakuzoea, na ninashukuru mambo si mabaya wife anawamudu na wanaendana naye. Na nikiona dosari huwa nawasiliana na wife then yeye anamaliza nao.

Ila kula house gal kiongozi acha tafadhali. Yaani kweli ukose nyapu huko nje hadi uje ule ya house gal wako kweli jamani, kwanza unakuwa unamdhalilisha mkeo sana tena sana pili nihatari kwa familia yako yote (hatari kwako kwa watoto wako na kwa mkeo pia) anything bad can happen, hujawahi kufikiria hata familia yako kudhuriwa au unatafuta umaarufu!

Kwa yeyote mtaka papuchi ya housegal wake please ajiangalie kwanza na afikirie kabla ya kutenda.

MUTTAZ.

Umeongea point!!! Ukishalala na housegirl ujue atajiona sawa na mkeo, hapo ndiyo kimbembe utakiona maana utafayiwa vituko mpaka ukomee, na ndoa inaweza kuvunjika
 
Yaani mm nina House girl mzuriiii,muiraq toto jeupeeeee,hips hiyaaaa!! Na anapiga kazi balaa,adabu za kutosha na upendo wa hali ya juu!Sasa huyo anaetaka kumgegeda amgegede hakuna namna! Siwezi kuacha kuwaajiri watoto kisa mwanaume niliyenae hizi ni akili chafu zao wakiamua kunisaliti! Yaani sihofiagi hili

Na usiajili housegal mbaya kuhofiwa mumeo kula, kwa huyo wakwako popote pale utaenda naye kwani unaonekana kumfeel pia! Big up Mamy.
 
Uu mcmu nahic naend kudisco chuo kwan nashinda jf mpak dah,,,na vituko kila cku ni vipya
Yaan nikiingia pindi najikuta nachek Cheka dadeki BT fresh ngoj nifate stareh angu ilipo shule ipogo tu
 
Back
Top Bottom