Heri ya mwaka mpya 2018 wana MMU

Heri ya mwaka mpya 2018 wana MMU

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,576
Reaction score
12,375
Neno la kuuingia nalo mwaka huu mpya.......
“Zamani (siyo mbali miaka ya 90 hivi)dada yako akipata mimba kabla ya kuolewa, anajificha nyumbani hadi ajifungue na washikaji wanakucheka na wanakutania wewe ukipita kitaa, ila sasa ni tofauti maana hiyo mipicha na bwana wake mpya kila kukicha insta hadi kero na akipata mimba na picha ya tumbo juu ataweka insta hata wewe kaka yake uone kazi ya shemejio [emoji28]"

Happy New Year Everybody [emoji111]️
 
UNSET-1-640x631.jpg
 
Changes...siku hizi wanaooketeza habari kina Millard nao ni ma influential... Unaandika tu " alichoandika kingwagala kuhusu kakobe" ...
 
Halafu hizi mimba zao zinakuwa ni za kikoa(collabo) ndio maana mpaka vipimo vya DNA vinasumbua kusoma kujua baba halisi ni nani
Utakuta masikio ya Jr
Midomo ya usher- Smith
Nywele za Ushimen
Rangi ya Bujibuji
Vidole vya Asprin
Macho ya kiwatengu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom