Habari wakuu, Mimi ni miongoni mwa kijana ninayeishi nyumba za kkupanga, katika mtaa huu ninao kkaa kuna jirani yangu tulikuwa wote mabachelor juzijuzi tu kaoa ila anammendea mpangaji mwenzangu wa kike aliyeamia hapa juzi tu, kila akiona kaenda bafuni kuoga anasimama mlangoni mpaka anamaliza kuoga Yule binti, Hivi ni kwanini wanandoa wengi wanakuwa na tamaa za hovyo Hivi