Wanaume ondoeni vitambi vinatukera sana wanawake

Wanaume ondoeni vitambi vinatukera sana wanawake

Faith HJ

Senior Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
177
Reaction score
215
Jamani hebu wanaume mkubali kurekebishwa na kukubali mnachoshauriwa,

Wanaume wengi hasa walioko kwenye ndoa wamefuga vitambi,
kwa kweli hili mimi linanikera sana hakuna nguo inayompendeza tumbo kule, ondoeni vitambi muwe na mwonekano mzuri na shoo mzimudu.

Badilikieni bwana.
 
Back
Top Bottom