Mmeamkaje? Katika siku kadhaa zilizopita Dada Ray C alimuomba JPM na serikali yake kuwa kuwe na sheria inayozuia urafiki kabla ya ndoa.Leo nimegundua aliona mbali sana.
Wapo mabint wengi wana...
Nakumbuka mwaka 2000 nikiwa kidato cha pili BULUBA SECONDARY kwa wale wa shy town mnanielewa.Nilikatongoza kabinti kazuri kalikuwa kidato cha kwanza.Kidume nikaimba mistari kuanzia tunatoka shule...
Wadau Habari,
Hapa povu linaruhusiwa kabisa ila kwa watu wazima embu toeni ushauri wa hekima
Nilichepuka.nikanogewa nikazalisha mchepuko.
Kwa hesabu za haraka sasa familia yangu imekuwa kubwa kwa...
Kuwa eti hatupendi mwanamke mwenye shape ? Ni uongo. Kuwa hatupendi makalio au hips? Ni uongo. Wengi ya wanaume wanavutiwa na mambo hayo sema tu wanashindwa wafanyeje. Kama uongo jitahidi akipita...
Habarini wanajamii wenzangu. Nahisi hii itakua post yangu ya kwanza upande huu adimu wa malove love...
Anyway twende moja kwa moja ndani.
Mim ni kijana nipo mid 20s kwahio sio mzee sanaa.
Mwaka...
Habarini wanajamvi,
Heri ya mwaka mpya.
Leo imenibidi nitumie ID ingine.
Kuna wana jf humu ndani sijui ndo stress au nini? utakuta bi dada kapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote anatoka nao...
Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka sehemu mbalimbali. Jisomee na uone usifuate...
Wakuu habari zenu,
Nimekuwa na tatizo moja la kutokuwa mchangamfu mbele ya marafiki zangu pindi ninapisalimiana nao pia mimi ni mtu nisiyejali kwa vitu vingi sana mara nyingi uchukulia kawaida...
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 27. Naish Dar napia nimeajiliwa nimeajiliwa katika kampuni moja wapo kubwa hapa nchini.
Natafuta mke mwenye umri wa miaka kati ya 20 hadi 25, awe ,weupe...
watu wengi huwa wanaota usiku wwnafanya mapenzi kabisa,kiukweli huyo ni jini anaitwa jini mahaba na matokeo yake ni mikosi......TIBA IPO NI YESU
SOMA WARUMI 10:9
Ndugu naomba kufahamu mimi kama kijana naechipukia ambae hapo badae natarajia kuitwa mme au baba wa familia furani.
Taratibu zipi napaswa kuzifutwa toka wakati wa urafiki, mahusiano, uchumba...
Sijui hii thread niipeleke jukwaa la international au celebrities - sijui, mods wataamua ila mimi naona imeelemea zaidi mapenzi na mahusiano.
Ni hawa waamerika wawili maarufu sana -Bwana Stedman...
Sijui nna bahati mbaya ila kwa sasa nimekuwa nakutana sana na kina dada wanaonuka kibeberu au kikwapa tofauti na zamani...Kwa sasa imekuwa kama ugonjwa idadi kubwa ya kina dada mjini wanashindwa...
Hello JF,
Love has the uncanny ability to make some people dumb. More so my fellow sisters. To save some of us the woes of having to wipe tears of love gone sour each time, here are some tips to...
1. Kutupa chakula.
Jamani jamani ni vibaya mno kuchezea chakula. Kuna watu sehemu tofauti duniani wanakufa kwa njaa na wewe nyumbani kwako unatupa chakula bila sababu. Hivi kuna sababu nzuri ya...
Ndiyo naanza kwa machungu kuuelezea mkasa nilioupata nakili kabisa siwezi kurudia, naanza hivi Mimi ninafanya biashara ya samaki ziwa Rukwa halafu napeleka Tunduma sasa kule ziwani ni hifadhi ya...
Nawasalimu,
Hivi wanawake wote ndivyo walivyo hivi au ni baadhi tu? Mana kila uchwao mwanaume utatafutiwa visa ilimradi tu mgombane na kukwazana tu ndio aridhike hata kama mengine utayavumilia...
TBC FM, TBC FM # ShujaazRadioShow
TABIA 20 WANAUME WA TOKA MIKOA MBALI MBALI TZ
1. Wanaume wavivu zaidi Tz- WAZARAMO..Hawa hawafanyag kazi kbs, wao hushinda vibarazan, kucheza bao, kunywa kahawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.