Ladies:- Je unaweza kuolewa na mwanaume aliye na watoto wanne kwa wanawake watatu tofauti tofauti?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
black-woman-worried.jpg

Would any of you ladies marry a man who has four kids by three different women but has never been married? Why and why not?
 
Upendo ndio determinant kubwa.Sasa tukiacha upendo, kinachofuata ni tabia yake ya jumla na anavyonitreat na mwisho ni financial stability yake/yenu maana population kama hiyo na say watoto 2 mtakaoongeza ili wapate maisha mazuri lazima pesa itumike.

So siwezi sema moja kwa moja kama siwezi kubali kuolewa na huyo mtu mwenye watoto 4, huenda he was just unlucky na wadada. Na pia he is very fetile, wasiwasi wa low sperm count haupo hapo. LOL
 
hahahah Kaunga je utaamini vip kama wewe kakupenda kweli mpaka kaamua kukuoa?
 
Last edited by a moderator:
Mie ningemuuliza tena kwa kumtizama machoni ili anieleze inakuwaje kuzaa na wanawaka watatu na asitokee hata mmoja wa kuoa..Kama majibu hayaeleweki naanza mbele ..
Mambo ya kuwa naagwa kila siku napeleka hela za matumizi ,sijui mtoto anaumwa wapi naenda kumsalimia kila kukija Majanga hakuna ndoa hapo
 
Back
Top Bottom