KIKWAPA...Ugonjwa mpya kwa kina dada mjini

KIKWAPA...Ugonjwa mpya kwa kina dada mjini

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,221
Reaction score
4,695
Sijui nna bahati mbaya ila kwa sasa nimekuwa nakutana sana na kina dada wanaonuka kibeberu au kikwapa tofauti na zamani...Kwa sasa imekuwa kama ugonjwa idadi kubwa ya kina dada mjini wanashindwa kabisa kuzitendea haki pua zetu.

Unakuta dada mrembo kabisa, kavaa kapendeza ila ana kikwapa...wengine mpaka ramani inachora kwenye nguo sehemu ya kwapa...Wengine wanapiga body spray sijui kwa kuwa ni za bei rahisi basi zinatengeneza bomu la kikwapa zikiisha nguvu.

Wadada mjipende, haipendezi dada mrembo alafu ujikoseshe marks sababu ya kunuka kibeberu au kunuka pumbapumba au kutu.

Alafu kingine uwa najiuliza mtu anenuka kwapa uwa ajiskii kama anatema? na kama kwapa linatoa kule kwenyewe je? mabwana zao uwa wanavumilia hiyo hali au nao ndio wale wale?

Hali inatisha!
 
Wengi wao ni sababu ya vipodozi huwa vingine vinaondoa tabaka la ngozi asilia
 
Hivyo vikwapa navionaga huku kwetu kijijini na hiyo ni kutokana na kazi ngumu kama;kulima, kufata maji umbali mrefu n.k.
Sasa huko mujini sijui tawuni wananukaje vikwapa ili hali wanashinda kwenye ac 24/7 na full daladala na boda boda?
 
Kwanini wengi huwa hamtumii neno "Baadhi" kwa case kama hii?

Sio wadada wote ni wanuka vikwapa, Kuna wengine wananukia huko vikwapani.

Kuna wengine ni wasafi kisha wanatumia deodorants za standard au quality nzuri na kunukia vizuri hasaa.

AIDHA, pia wapo wanaume wanaonuka vikwapa haswa hawa makonda mithili ya shitholes.

Njia nzuri ni kumjuza yule anayenuka kuwa ananuka na atafute ufumbuzi.

Niliwahi kusikia kuwa kupaka spirit au limao sehemu ile inasaidia sana kuondoa harufu.
 
Wengine wananuka mawigi unakuta sijui hajaosha siku ngapi na anaongezea na spray juu
 
Ujanja ni kuziba kwapa kwa cello tape, harufu haitoki kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom