Tamaa imeniponza

Tamaa imeniponza

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
909
Ndiyo naanza kwa machungu kuuelezea mkasa nilioupata nakili kabisa siwezi kurudia, naanza hivi Mimi ninafanya biashara ya samaki ziwa Rukwa halafu napeleka Tunduma sasa kule ziwani ni hifadhi ya katavi ambapo tunakaa kambini wanamme watupu na huwa muda mwingine nakaa hadi siku 30 hadi 40 ndiyo napata mzigo wa kusafirisha, na makazi yangu ni Tanga.

Sikumoja natoka ziwani nikampigia simu mpenzi wangu ambaye yupo Sumbawanga mjini kuwa nipo njiani nakuja, siunajua tena nyege za siku 40 yaani zimeshuka hadi vidoleni basi akasema poa usiwe na hofu lakini ili kujihakikishia kuwa leo lazima niutupe nikampigia mwingine siunajua sisi wanamme tunakuwa na spea naye akasema yupo vizuri ananisubiri basi hadihapo nikawa nina %75 lakini nikafikiri kuwa hawa wanawake siyo wakuwaamini sana huwa wanabadili mawazo dakika yoyote nikaamua kumuandaa mwingine ili niwe na uhakika wa %100 naye akasema yupo vizuri.

Sasa kazi ikawa kwangu kuchagua nimchukue nani siunajua ukiwa na wake watatu au zaidi nilazima kunammoja utamzimikia sana nilipofika sumbawanga mjini nikachukua chumba Guest ilikuwa saa nne usiku nikampigia yule chaguo langu namba 1 akasema anaoga akishamaliza atakuja,basi hadi hapo sikuwa nashida nahawa wengine kwakuwa nimeshapata uhakika kukaa kidogo nikapigiwa simu na wapili nikamwambia bado sijafika halafu nikampigia yule watatu nikamwambia gari limeharibika njiani kwahiyo uwezekano wakufikaleo haupo nikawa namsubiri yule chaguo namba 1.

Lakini alikawia hadi nikaamua kumpigia simu, simu iliita hadi ikakata bila kupokelewa nikakaa kamadakika tano nikapiga tena lakini safari hii haikupatikana hewani nikaanza kuchanganyikiwa na wakati huo usiku ushakuwa mkubwa sana nikampigia chaguo namba 2 naye simu iliita bila majibu nilirudia mara kumi lakini haipokelewi.

Basi nikampigia namba tatu yule niliyemwambia kuwa gari limeharibika njiani, naye simu yake haipatikani, hadi hapo nikawa nimewakosa wote watatu kwa tamaa zangu. Yote haya yametokana na kukaa siku nyingi bila ya kufanya ngono ndiyo maana nimesema tamaa imeniponza.

Ningechukulia kawaida ningempata mmoja wa kulala naye. Nawashauri muache tamaa yasije yakakukuta kama haya yaliyonikuta
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ya sanaa buana
 
Wewe si ndiye ulietakiwa ukajisaidie haja kubwa mlango wa sokoni ama sio wewe?tekeleza masharti mkuu utaharibikiwa,waganga wengine hawajaribiwi
 
Hahahhaaaa kumbe ndo mnavyotupangaga ?
 
Back
Top Bottom