Salam wakuu,
Nimebwaga manyanga ya kujihusisha na mapenzi hadi hapo takapo ona wakati wa kuoa umewadia. Hii sector nimwachie mtaalam #GuDume nadhani anaimudu sana.
Nini kimefanya nibwage...
Mimi navyojua mwanamke aliyekubali kulala na mtu ambae si mume wake ni mwanamke aliyekosa staha na busara sana na hafai hata ukiendelea kua nae unafuga ugonjwa moyoni ambao baadae waweza kua ni...
Wakuu kama Title inavyojieleza,nimeanzisha uzi huu mahususi kwa wanaJF wenye Vibamia tukutane hapa tushauriane ni mambo gani ya kuzingatia kuondokana na tatizo hili.
Ni changamoto gani...
Habari wadau wana jf. <br /><br />Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika...
Huu ni wito kwa Mabinti wote wa first year Katika vyuo vikuu na vocational trainings ambao wameeingia kwenye uhuru wa Kujisimamia baada ya Kumaliza Secondary School. Mimi nimeoa na nina mke na...
Ni asilimia ngapi ya wadada humu wanawachagua manaume wakimya si waongeaji na wangapi wanawachagua wanaume wacheshi waongeji.
kama choice zao na kwa nini?
Habari wana JF,
Kuna kitu najiuliza hivi huu ujasiri tunaupata wapi wa kupiga collabo.
Sometimes inatokea unajua kabisa mwanamke ana mtu wake lakini unanunua hisa kidogo iliupate gawiwo kidogo...
Rafiki yangu anatafuta wachumba anasema yeye kigezo chake ni hicho tu wawe mapacha atawaoa wote na ana uwezo wa kuwatunza wala wasiwe na shaka ni hayo tu wadau,kama mpo humu au umesikia popote...
TUNAJIFUNZA NINI? (1- Wanawake)
Kwa asili kabisa toka uumbaji, Mwenyezi MUNGU aligawa majukumu. Mwanaume alipewa MAMLAKA na mwanamke alipewa jukumu la USAIDIZI.
Ukweli mchungu ni kuwa...
Habari wana JF
Niende moja kwa moja kwenye mada, wanaume tupeane pole kila tulipo, hawa wake zetu hawa tuwaacheni hivi hivi walivyo.
Leo nimekutana na mkasa wa kusikitisha, niseme tu wazi kuwa...
Huu utafiti ni 95% true
Wanawake wengi miaka 30 na kuendelea ndo wanapoanza kufaidi tendo la kusex na hamu inaongezeka.
Wanawake walio kwenye umri huu kama hawana watu wa kushiriki nao wengi wao...
Hello
Napenda kutumia nafasi hii kutafuta msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo:
01: umri miaka 18-30
02: elimu kuanzia form 4 mpaka bachelor degree.
03: dini awe mkristo
04: awe mrefu...
Salam,
Niingie tu moja kwa moja kwenye mada, kwanza naomba niseme tu hili swala linamuhusu rafiki yangu ambaye ameshare experience na mimi na sio kwamba anaomba ushauri.
Hawa jamaa zangu...
Kenneth Pinyan, kifo kupitia farasi...
Pinyan alikuwa mhandisi wa Shirika la Uundaji ndege la Boeing, akiishi nje ya Jiji la Seattle. Baada ya kazi, ilikuwa ni kawaida kwake kutembelea shambani...
Poleni na majukumu mbalimbali mimi ni mwanamke wa miaka 33 looking for an investor who will be willing to invest in my small business im planning to start .
Najua sisi binadamu tumeumbiwa kukosoa...